SuperKapeto
Member
- Feb 27, 2013
- 62
- 27
Wadau na wakuu wa jamvi siku hizi kuna hulka ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu au sms yaani tunaita sexchat, unaweza fanya hivi kama mpenzi wako yupo mbali na wewe.
Kama jogoo akiwika alfajiri na huna mwelekeo hata wa kwenda kwa dada Poa.
Sexchat kwa kiasi chake inahitajika utundu kwani ni lazima mtu awe na uwezo wa kuvuta hisia za mpenzi wake hadi aone ana Peez.
Japokuwa ina madhara kiakili kwan ukiendekeza hivi unaweza kuwa mbovu kitandani.
Asilimia kubwa ya watu walioko katika mitandao ya kijamii kama facebook, whatsapp, badoo hufanya haka kamchezo. Unaweza shangaa mpenzi wako kwanini ameng'ang'ania simu huku unaongea naye uso kwa uso yeye anachat kumbe anakojoleshwa au kumkojolesha mtu mwingine.
Mtu anayefanya sexchat mara kwa mara hasa mwanaume huwa na tatizo sana la uzalishaj wa mbegu za kiume.
Inashauriwa jiingize katika sex kila baada ya siku 2 kiafya but mtu anayefanya sex kila mara imagine anakuwa katika hali gani katika mbegu za kiume.
Wanajamii mna ulewa upi mwingine wa sexchat.
Tufunguane pamoja:flame::flame: