Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
Ngoma hiyo ya jay moe inaitwa jipange..kingo'ko ni mikocheni kwa kina babuu,langa,..na voda millionaire ni drug dealer mitaa hiyo..tena Don..hayo yanatosha tusije kutaftana..
Okay mzee time hiyo namimi maskani ilikua 104 mikochenisawa ahsante nmepata idea vizuri maana ubishi tulokawa nao na washkaji ni mzto Mara hyo jamaa ni producer.
Shukrab by the way
Unahs nan alikua anaumizwa sana humOkay mzee time hiyo namimi maskani ilikua 104 mikocheni
More na langa ,Langa mkali but langa hakuwekeza nguvu nyingi kwenye game,alikua busy na stareheUnahs nan alikua anaumizwa sana hum
Ahsante sana, kusema kweli bifu za hip hop ni raha sana.tukiachana na hayo majanga yalokatokeaVoda Milionea nadhani alikua muuza ngada maarufu enzi hizo, na ni time hiyo Langa alikua anatandika unga kama nyoka.
Lakini baada ya Langa kutoka kwenye hizo mambo ndio akaja na hiyo Lyric AMANI KWA KAKA VODA BILIONEA// MWAMBIE MOE NIMESHAACHA PODA PIA SILI MMEA
Sure I see, alikua na midondoko flani, now hip hop artists wakuwaskiza sio wengi wanaotembea kama huyu mkongweMore na langa ,Langa mkali but langa hakuwekeza nguvu nyingi kwenye game,alikua busy na starehe
Sio Jana Wala Juz Nafanya Makamuz Mistari Haikauki Kama Vile Shahaaaw
Mistari Yangu Inasoko Kuliko Biashara Ya Madawaaah
Licha ya midondoko,jamaa alikua na mashairi matamu sana,pia ndio msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kwa kingleza na bado mistari ika make sense...Sure I see, alikua na midondoko flani, now hip hop artists wakuwaskiza sio wengi wanaotembea kama huyu mkongwe
Aseee kweli, now vipi One The IncredibleLicha ya midondoko,jamaa alikua na mashairi matamu sana,pia ndio msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kwa kingleza na bado mistari ika make sense...
Sure jay z kwa langa ni mweupe kama CCM bila policeKuna mstari anasema "na rap kwa kingereza,na rap kiswahili,,hata jigga haniwezi,,.me na rap kwa Lugha Mbili"
Hahhahahah naikumbuka mzeeKuna mstari anasema "na rap kwa kingereza,na rap kiswahili,,hata jigga haniwezi,,.me na rap kwa Lugha Mbili"
Sure thingMaisha ya Wala unga ni maisha mabaya sana na yaliyojaa fedheha Na kudharaulika. Pia ni maisha mafupi sana
Najua Mambo Mengi Naweza Kumfundisha Dingi Mc # 1Kuna mstari anasema "na rap kwa kingereza,na rap kiswahili,,hata jigga haniwezi,,.me na rap kwa Lugha Mbili"
Lakini langa kwani ni mboga 7 alikuwa kawekewa bili ya ngada na mother ake sio kama chidMaisha ya Wala unga ni maisha mabaya sana na yaliyojaa fedheha Na kudharaulika. Pia ni maisha mafupi sana