Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
902
1,000
Kuna kipindi mwaka 2007 ilitokaga ngoma flani (nmeisahau kidogo) ila Jay Moe alishirikishwa then kwenye punch za MOE aliandika

"AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA// WASHTUE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA//"

Halafu ikatoka ngoma ya Langa tena ilitoka ghafla bila kudhamiria kwa madai yao. Ndani kulikua na mistari inayomtaja jamaa huyo huyo ikiwa kama ni reply kwa MOE ikisema.

"AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA// MWAMBIE MDOGO AKO AACHE USHOGA NA UMBEA//"

Miaka kadhaa ikapita na bifu lilikua zito kuna mambo mengi yalipita.
Baadae miaka hyo kupta. Mheshimiwa Langa aliachiaga ngoma na kuandika mistari inayosema tena.

"AMANI KWA KAKA VODA BILIONEA// MWAMBIE MOE SIKU HIZI NMEACHA PODA PIA SILI MMEA"

NAAMINI KUNA WATU WALILITAMBUA HILI NA INAEZEKANA WALIJUA NN KILIKUA NYUMA YA PANZIA, NAOMBA TUSHIRIKIANE KULICHAMBUA PIA KUPEANA SHOTS HIZI ZA OLD SCHOOL PIA HUYU KAKA VODA NDO NANI NA ILIKUAJE AKATAJWA.

NINACLIP YA VIDEO ZA NGOMA HIZI SEMA IMEGOMA KUPAKIA.

R.I.P LANGA...
OLD SCHOOL PUNCHES
let's share ideas
 

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
902
1,000
Ngoma hiyo ya jay moe inaitwa jipange..kingo'ko ni mikocheni kwa kina babuu,langa,..na voda millionaire ni drug dealer mitaa hiyo..tena Don..hayo yanatosha tusije kutaftana..
sawa ahsante nmepata idea vizuri maana ubishi tulokawa nao na washkaji ni mzto Mara hyo jamaa ni producer.
Shukrab by the way
 

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,209
2,000
Voda Milionea nadhani alikua muuza ngada maarufu enzi hizo, na ni time hiyo Langa alikua anatandika unga kama nyoka.

Lakini baada ya Langa kutoka kwenye hizo mambo ndio akaja na hiyo Lyric AMANI KWA KAKA VODA BILIONEA// MWAMBIE MOE NIMESHAACHA PODA PIA SILI MMEA
 

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
902
1,000
Voda Milionea nadhani alikua muuza ngada maarufu enzi hizo, na ni time hiyo Langa alikua anatandika unga kama nyoka.

Lakini baada ya Langa kutoka kwenye hizo mambo ndio akaja na hiyo Lyric AMANI KWA KAKA VODA BILIONEA// MWAMBIE MOE NIMESHAACHA PODA PIA SILI MMEA
Ahsante sana, kusema kweli bifu za hip hop ni raha sana.tukiachana na hayo majanga yalokatokea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom