Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

Najua Mambo Mengi Naweza Kumfundisha Dingi Mc # 1

Mfano Wa Mitaani Wapinzan Nawapiga Vichwa Kama Zidane
Wewe sasa kama sio Daud sijui..kuna mwana nlisoma nae secondary,nlikua producer wake..kila tukiamka lazima snipe mstari wa langa...hakuna mstari wa langa ambao sijawahi kusikia..ngoma take Rafiki Wa Kweli is my Favorite from him
 
Hahahah hahahah alikua anameza
 
Mahaba tu kwa langa kileo..but langa nae kati ya watu wanaotafsiri mistari ya mbele kuifanya take,yupo vizuri..haha but hamzidi fid q tha big copy cat
Si kweli mkuu,usomaji wa vitabu humsaidia pia fid q, ata marehemu 2pac aliikuwa msomaji mzuuri wa vitabu akatupatia tungo safi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom