Watu wengi waafrika ni washirikina ndio maana wanaabudu misiba, huku wakiamini kuwa ukimsema vibaya marehemu mabaya yatakupata. Hii leo hata afariki mtu kama K au L hamna atakayejitokeza kusema madhaifu yake. Plz hizo herufi sijaweka majina ya watu ni mifano tu kama tunavyotumia X na Y kwenye hesabu.