Aiseee?Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..
Hahahahaa mimi hapo kwenye kipindi cha redio kinacho pendwa ndio wameniacha hoi sana.Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..
Mkuu kabla hata ya kwenda mbali kilicho ni shangaza ni kusema heti Vannesa Mdee ni mtangazaji anaye pendwa daaaa hivi ni watu wangapi wana sikiliza na kumsikiliza Vannesa?Kama umeniwahi...hata mie nilitaka kuhoji huu mtindo wa kuiangalia Tanzania nzima kupitia Dar....huu ni unyanyapaa...ni bora mngeziita tuzo za wana Dar.
Kwa mfano huku mikoani huyo Vanesa tunamtambua kama mwanamuziki...sasa kuja kutuambia tena ni mtangazaji na amequalify kugombea tuzo kwa sura ya nchi nzima...mmmmh, ni usanii wa kuburuza wanainchi wa mikoani.
Mjipange...fanyeni kwanza utafiti kujua tv na redio zinazoonekana sehemu kubwa Tanzania...otherwise endeleeni na tuzo zenu ila muziite Tuzo za wana Dar.
Sina utafiti rasmi ila nina haki ya kuhoji...kama bunge nacho ni kipindi...basi sina shaka ndio kipindi kitakachokuwa kinaangaliwa na wengi kulinganisha na vipindi vingine, iweje kuachwa kwa kipindi kama Njia Panda-clouds, Sintosahau-Star Tv.......
Cha ajabu kuna vipindi kibao ambavyo kwa wengi ndio kwanza tuna/wanavisikia plus hao watangazaji wake.
babamkubwa unasema mambo kwa mazoea au una uhakika kuwa ni tuzo na si tunzo?Ni Tuzo sio Tunzo
Mkuu FYATU mimi na wewe tuko pamoja na hayo yote uliyo yasema yameonesha waazi hizi tunzo zina udhaifu mkubwa sana.Televisheni zinazoonekana sehemu kubwa kama sikosei ni-Star Tv, ITV, EATV, TBC 1 na Channel 10.
Redio zinazosikilizwa au kusikika pakubwa kama sikosei ni-RFA, Redio one, EA radio na Clouds (sina uhakika sana kuhusu capital redio)
Na nilitegemea kwa uhalisia Clouds Tv wasingeweza kupata category hapo maana EATV na ITV na STAR TV ndio wange tawala kwa mfano Vipindi kama Dira ya dunia(startv) na Malumbano ya hoja(ITV)Sorry......Sintosahau-RFA.....ingawa ni kama siku hizi wanakiharibu kwa kualika watu waongo wanaotunga matukio...wanakera sana na kupoteza mvuto uliokuwepo siku za nyuma.
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..