mariantonia
Senior Member
- Jan 6, 2012
- 135
- 52
usingewazia kumkosa huyu cute karibuni???????hata kama ni mimi ningekubali. . . He is too cute.
usingewazia kumkosa huyu cute karibuni???????
wewe ni ipi nafasi yako???Alikuwa anajua ni innoncent na angetoka
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???Ndo maana ningekubali ili hata akienda jela akirudi nijue ananirudia mimi.
yes huyu mdada nimemheshimu sana kwa uajsiri wake...........kiukweli ameonyesha hekima na mapenzi ya kweli
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???
au ungeomba hakimu akupe dakika tano za mtengeneze mtoto??????????????
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???
au ungeomba hakimu akupe dakika tano za mtengeneze mtoto??????????????
marekani conjugal visits zipoKwani hawaruhusu conjugal visits?
Kama hawaruhusu ningemsubiria tu.
itokee wewe ni mzuri kuliko mkee wa askari magereza unadhani hapo itakuwaje??????????????Unafanya arrangement na askari magereza kila mwezi au wiki mbili unaenda kutengeneza mtoto.
marekani conjugal visits zipo
bongo waziri alijitetea magereza haina sytuctures/places za kuaccomodate conjugals,
ukimsubiri kwa 23 plus umri wako NO OVULATION AT ALL
Naweza kupa ushauri mwingine ingawa umekaa kiajabu