Tuzo ya MO Ibrahim 2013

JK hakuwekwa madarakani na watanzania, bali na tume ya uchaguzi wakishirikiana na usalama wa taifa.

kwahiyo alishinda Babu?akili mali,Babu wakati wa uchaguzi alitembelea majimbo 25%tu,ndio utegemee kushinda.
 
Tuzo za MO Ibrahimu haziwezi kutolewa kwa viongozi wa Africa wanaokataa IOC!
 
Ni mwaka wa nne sasa waandaaji wa Tuzo ya Mo Ibrahim hawajampata mshindi kwa mara nyingine, na Ukizingatia waandaaji wa Tuzo hiyo ni watu wa Afrika na siyo nchi za magharibi kwamba tunaweza sema ni fitina za nchi za magharibi kwa bara la Afrika. Je hii inamaanisha nini? Je ni kweli kuwa kwa kipindi hicho cha miaka minne hakuna utawala bora wala viongozi bora Afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…