ni overrall contribution bila kujali rank ya member,jinsia wala idadi ya post.unaweza kupata tuzo hata kwa post moja tu cha muhimu hapo ni uzito wake na impact jamviniTuzo anapewa Member yoyote yule anayejibu Swali kifasaha hatutizami Wewe ni Member wa mwezi siku au hata mwaka ukipasi kwenye jibu unahaki upewe tuzo lako upo pamoja na mimi Mkuu?
hiyo nadhani ilikuwa ya mwaka pia ilitenganisha gender..hii iwe kila mwezi na iwe announced kila mwanzo wa mwezi mpya na huenda after a year hao washindi wa kila mwezi wakapigiwa kura kumpata overall winner wa mwakamwaka jana si walitoa shindano la wanawake na wanaume ,tukapiga kura nadhani gaijin alishinda kwa wanawake na mwanakijiji alishinda kwa wanaume,mwaka huu mnataka kushindanisha tena.....si watakuwa wale wale tu au kuna face mpya ambazo zinaweza kushinda?
umesomeka mkuu...ngoja tumsubiri superman atuambie mbona huwa hatutangazii matokeo..atuachie hapo"sticky" na awe ana announce overall na forum winner kila mwezihizi tuzo zipo kaka inkoskaaz... Superman alikua modereta
Heri wachagulie kutoka kila jukwaa
ndo hivo mkuu,kila jukwaa watu wawili,mana mtu anakuwa na ufahamu kwenye jukwaa lake,mfano JF DOCTOR na SIASA ni vtu tofautiHilo nalo neno b'se kuna watu hawajanyagi jukwaa la Chit-chat, wengine jukwaa la siasa ni sumu kwao, wengine jukwaa la kimaitaifa ndio nyumbani, wengine jukwaa la MMU ni kama nyumba ndogo.
nikweli zinakuwa prizes za forum tofauti na washindi wake tofauti kama zilivyoainishwa but at the end wanachagua wa overall winnerndo hivo mkuu,kila jukwaa watu wawili,mana mtu anakuwa na ufahamu kwenye jukwaa lake,mfano JF DOCTOR na SIASA ni vtu tofauti
hapo umenena..ur list also imebainisha magwiji wa majukwaa tofaut mkuui woul spport personality of the year kwa jukwaa... Maana kila jukwaa la lenyewe.
I have my vote for boss, peasant, kimbweka, emt, riwa, ff, kila mmoja na kukwaa lake
in no particular order....
The Boss
Nyumba Kubwa
Mtambuzi