Cjui kw nn bahadhi ya watu wana vichwa vigumu..
Mtu kaweka post anatafuta mchumba/mume/mke n.k na vigezo na njia ya kuwasiliana ambayo kubwa zaid ni sms[PM],lakin watu hawaelewi, mara mtu anakuja anasema nitafute,mara mtu kaweka namba za cm...
Sio powa hata kidogo,hata kama uko 'serious' anaweza kukupuuzia.
Kingine, wanaoweka post za uchumba wawe wawazi na wajieleze kwa ufasaha 'briefly'!,sio kama vile unafanya majaribio uone nn itatokea..kumbuka:kila kosa utakalo lifanya kwen hatua ya maisha kama hii, uchumba/mume/mke ina madhara makubwa na wengi mme shuhudia.
Take care!!