Tuziangazie barabara za Dar zilizojengwa chini ya kiwango

Tuziangazie barabara za Dar zilizojengwa chini ya kiwango

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,842
Reaction score
6,962
Nitabase kwa Wilaya ya Ilala

1.Tabata dampo -mpka kinyerezi
2.Vingunguti-barakuda(Hii inarudiwa sasa).
3.Mombasa-Moshi bar Ukonga
4.PuguKajiungeni -Chanika
5.Buguruni Mnyamani-Vingunguti

6.....

Hizo ni barabara ambazo zilitumika muda mfupi sana kabla ya kuharibika kupika kiasi chake cha awali.

Endeleza hiyo list hapo kwa wilaya yako hapa Dar
 
Back
Top Bottom