steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,512 Reaction score 13,723 Aug 12, 2012 #1 wazoefu wa magari haya nisaidieni jamani manake nayapenda mno na nataka kitu economic kwenye wese kinoma,yanakulaje wese kwa lita au gari gani zaidi ya hili ni ecnomy sana
wazoefu wa magari haya nisaidieni jamani manake nayapenda mno na nataka kitu economic kwenye wese kinoma,yanakulaje wese kwa lita au gari gani zaidi ya hili ni ecnomy sana
R Rwiai Member Joined Jul 17, 2009 Posts 45 Reaction score 4 Aug 12, 2012 #2 jamaa yangu anayo yenye cc 1350, fuel consuption ni lita moja kwa km 13
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,512 Reaction score 13,723 Aug 12, 2012 Thread starter #3 poa man,sio mbaya sana,kimjini mjini inafaa