TUYAONAYO TUKIWA CLUB/BAR NIGHT KALI

TUYAONAYO TUKIWA CLUB/BAR NIGHT KALI

mchecheto

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
1,532
Reaction score
1,479
aise kuna watoto wakali walah
 

Attachments

  • Capturepaja.PNG
    Capturepaja.PNG
    159.7 KB · Views: 156
Kuna maovu na mauchafu mengi sana katika hizi night club mbali na hao unaowaona warembo
 
Hapo unapandwa na ule wimbo wa mwanza uliozuiwa unalibeba, ukidhani ni libinti kumbe lizee, lina wajukuu, unene anagonga yale madawa ya virutubisho, kichwani ni mvi ila kaweka hayo makatani ya kichina kichwani, uso una makovu makovu na ni mweusi tii ila kapaka hayo maplaster !!! hongereni wa mjini mliaga wazazi manaenda kutafuta fedha mjini kumbe kila kukicha mnakesha clab kuyawinda hayo, ukishanasa unarudi kijijini wazazi wanaanza kuzunguka kwa wapiga ramli eti mwanetu kalogwa, kakibanda cha nyasi alichojenga mzazi wako ndio kilekile umerudi kukaa wakati mjini ulikuwa mfalme. MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO ila MCHUMA FEDHA HULA NA MAGUMEGUME
 
Hpo utakuta aliitwa mmoja2 lkn kama kawaida yao kabeba na kibandiko mlangoni [emoji23]
 
Hapo unapandwa na ule wimbo wa mwanza uliozuiwa unalibeba, ukidhani ni libinti kumbe lizee, lina wajukuu, unene anagonga yale madawa ya virutubisho, kichwani ni mvi ila kaweka hayo makatani ya kichina kichwani, uso una makovu makovu na ni mweusi tii ila kapaka hayo maplaster !!! hongereni wa mjini mliaga wazazi manaenda kutafuta fedha mjini kumbe kila kukicha mnakesha clab kuyawinda hayo, ukishanasa unarudi kijijini wazazi wanaanza kuzunguka kwa wapiga ramli eti mwanetu kalogwa, kakibanda cha nyasi alichojenga mzazi wako ndio kilekile umerudi kukaa wakati mjini ulikuwa mfalme. MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO ila MCHUMA FEDHA HULA NA MAGUMEGUME
Mkuu Hongera, naona umeongea kwa Hisia Kali Kweli Kweli kuonyesha msisitizo.
 
Mbona hamna kitu hapo,

Sema tu wengine hatunaga tabia ya kupiga picha
 
Back
Top Bottom