tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe. Very wiseSio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi. Ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto.
Iko hivi, kwa mambo yoote mema na mazuri waliyokutendea wazazi wako tangu unazaliwa, hakuna bei utaweza kuwalipa. Malipo yake ni kuwatendea vivyo hivyo wajukuu zao, au hata zaidi.
Kama baba yako alichakalika kutwa kucha kuhakikisha hamkosi kula, hakikisha watoto wako hawakosi kula under any circustance. Kama ulisoma na kila ulichohitaji ulipatiwa kwa wakati, tenda hivo hivo kwa wanao.
Kama mama alijinyima kula ili wewe ushibe tendea hivo wanao, kama ulianza kukengeuka, baba/mama akachukua bakora akakucharaza urudi kwenye reli, fanya hivo kwa wanao wanaojifunza utukutu. Sio kuanza kuleta uzungu akati kizazi kinaharibika.
Pamoja na changamoto za ndoa, ila kama baba/mama yako alimvumilia mwenzie ili wewe ukue ukiwa chini ya malezi ya wazazi wote wawili jitahidi kumaliza tofauti zenu huko ili mlee hao watoto hadi watakapo jitegemea mkiwa pamoja.
Kama hukuwahi kumwona baba yako akimfokea/akipmiga mama yako mbele yenu, usimfokee mkeo ama kumpiga mbele ya watoto. Hata kama uliwahi kushudia hicho kitu, just dont. Yaan my point is Just give your kids the best you got from your parents. Hapo utakuwa unalipa madeni ya yoote mazuri waliyokutendea wale wazee.
Niamini mimi, Furaha na mafanikio ya wajukuu zao ndiyo zawadi kubwa unaweza kuwapa wazazi wako. Sio hivi visenti.
Wewee unashida sanaSio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi. Ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto.

So unamuona mama Yako anashida humsaidii kweli wanaume mnalaana kweliNikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe. Very wise
Kwahiyo bado wewe ni mdogo mama Yako akiumwa na unauwezo huromsaidia sindio eti??Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe. Very wise
Kwetu ni furaha tele..oh my love. Sio makasiriko...aah aah. Naomba upeleke makasiriko msikitin ama kanisani. Sometimes sprite ya baridi inasaidia kushusha jazba. Goodnight sweety...Kwahiyo bado wewe ni mdogo mama Yako akiumwa na unauwezo huromsaidia sindio eti??
Nani kakwambi usimsaidie mama yako mwenyeshida...So unamuona mama Yako anashida humsaidii kweli wanaume mnalaana kweli
Arooo kweli yakoMzazi sio Mungu babu, anaacha tu na yeye akileta wenge 😀😀
Saidia mama yakoKwetu ni furaha tele..oh my love. Sio makasiriko...aah aah. Naomba upeleke makasiriko msikitin ama kanisani. Sometimes sprite ya baridi inasaidia kushusha jazba. Goodnight sweety...
Msisitizo:I was with you hadi ulivyotoa mifano ya Ali Kiba na Diamond.
So watu wakae na mama zao wazeekee hapo, wazae huku na huko walete watoto mama alee, na mama zao ikiwezekana waendelee kuzaa humo humo wachanganye watoto na wajukuu....
usikute ndo uko kitengo inasubiriwa sahihi yako tu mipango iende....
Wewe kwanini u associate na malaya? Huoni tatizo linaanzia kwakoMsisitizo:
wao wameamua kuishi nao na ndio waislam walivyoo. Kijana wajue sana wazazi wako siku zako zipate kuwa nyingi hapa duniani.
Malaya, sio wakaaji ni maisha mafupi tu utakayofurahia nao. Mke au Mume hao hawanaga guarantee So only your mom anaguarantee maishani mwako na ndugu zako japo sio wote . Good Day
Wengine hawajui hilo mke Wala mama yake yeye anahonga tu Malaya sikia hivi hujaambiwa uw kama diamond Wala alikiba umeambiwa chukua mazuri Yao mabaya Yao yaacheWewe kwanini u associate na malaya? Huoni tatizo linaanzia kwako
Mke hana guarantee so mama yako ndo partner wako?
Hao malaya utakuwa unaleta humo ndani mama yako anapoishi,
au utakuwa una deal nao mitaani/ nyumba za wageni,
au utakuwa mtawa,
au ni hanithi?
Kutunza wazazi ni kitu kingine na maisha yako ni kitu kingine.
Mifano uliyotoa ni ya watu wa hovyo!
" Mf . Hai alikiba anakaa na familia yake hutaki kwendraa "Wengine hawajui hilo mke Wala mama yake yeye anahonga tu Malaya sikia hivi hujaambiwa uw kama diamond Wala alikiba umeambiwa chukua mazuri Yao mabaya Yao yaache
This is stupid. Wafanye wazazi wako waishi vizuri siku walizobakiza hapa dunianiSio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi. Ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto.