Tuweke nadhiri endapo Acacia watalipa Trillioni 108

Tuweke nadhiri endapo Acacia watalipa Trillioni 108

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Naantombe Mushi nikiwa na akili timami kabisa leo tar.16.06.2017 bila shinikizo la aina yoyote, natoa nadhiri kwamba endapo Acacia watalipa hizo Trillioni 108 ntafanya yafuatayo.

. Ntaandamana kwa miguu kuzunguka nchi nzima.
. Ntafunga kula siku 30
. Ntafunga kugegeda kwa mwaka mzima.
. Na endapo nikiona inafaa, ntajisaidia hapa pia.

Naomba kuwasilisha
Badilisha hilo jina bhana[emoji3]
 
Hiyo ID yako Mkuu sidhani kama unaipenda[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unasema tu lakn angalia aibu isije ukakukuta halafu ukashindwa kutimiza nadhiri yako ....kwani tumesikia nadhiri ngapi halafu mwisho wa siku watu wanaishia kuona aibu .....nakumbuka 2015 kuna askofu alisema Lowassa asipokuwa rais wamuue sijui alishauliwa
Ni ujinga kudhani tunaweza pewa Trillioni 108 ... Yaani mkuu wewe hufaham historia za mabepari......
 
yaan bado nacheka sana aic dah siji umewaza nn
Acha tu,,, ukiona hivi ujue nimechafukwa na roho..... Nawashangaa watu wanaofikiri tutapewa Trillioni 108 kwa ujinga wetu..

Mikataba mibovu walisaini wao, halafu now wanatupoza kwa kutuletea story zao na hadithi za kusadikika.. halafu kuna wajinga wanapiga makofi wanajua tunalipwa matrillioni... to hellllllll
 
Ni ujinga kudhani tunaweza pewa Trillioni 108 ... Yaani mkuu wewe hufaham historia za mabepari......
Kwan mabepari kitu gani? mbona mnakuwa na roho za uoga namna hiyo?binafsi napingana na nadhiri uliyoweka nadhiri kama hizo zimewahi kuwekwa na watu tofauti tofauti nmekutolea mifano tofauti nakuongezea na mfano mwingine Nape nnauye amewahi kusema Kikwete akiwa rais nitahama nchi lakin baada ya kikwete kushinda Nape hakuhama nchi usipende kuweka nadhiri uchwara moyoni
 
Kwani ni nani aliyesema walipe? Hat mh. Rais hajasema kuwa tutalipwa tr. 108, achen kiherehere.. Rais kasema, hawa jamaa tutafanya nao mazungumzo na watawajibika pale inapobid na wako tayari ktk hlo.. Kwa mana kama barick wakikubali kuwa wanadaiwa hzo trilion watalipa, kinyume chake hawalipi.. Na km itakuwa tunastahli milion 1 pia watalipa.. Ndo mana wakasema watajadiliana..
 
Acha tu,,, ukiona hivi ujue nimechafukwa na roho..... Nawashangaa watu wanaofikiri tutapewa Trillioni 108 kwa ujinga wetu..

Mikataba mibovu walisaini wao, halafu now wanatupoza kwa kutuletea story zao na hadithi za kusadikika.. halafu kuna wajinga wanapiga makofi wanajua tunalipwa matrillioni... to hellllllll

hahahahaha tena na mashirika yanatoa pongezi na ndezi wengine kesho wanafaNYA maandamano ya kuwapongeza,maajab hayatakuja kuisha nchi hii
 
Kama akilipwa hakuna mwekezaji mwingine atakaye kuja bongo, maana kwa hela hiyo itabidi acacia wakakope na wabaki hawana kitu.
 
Back
Top Bottom