Tuwekane sawa kuhusu pd-proxy with airtel chip! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwekane sawa kuhusu pd-proxy with airtel chip!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by XOXOQY, Apr 6, 2012.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nachofahamu mimi Airtel huwa inakata ku-connect ikiwa na 0.00.
  -Nimedownload PD-PROXY new version
  -Nikaifanyia setting zifuatazo
  (a)Katika option ya server nimeset DEMO SEVER (US)
  (b)Kwenye account Nimeweka user name na password nilizo pewa kwa ajiri ya trial!
  (c)Nikainstall TAP software
  (d) Katika port nikaweka hivi

  TCP port 443

  UDP port 53

  (e) Nika-enable Proxy na nikaweka hii 10.102.61.6 port 8080
  (f) Nikasave setting then
  (g) Kwenye MODEM APN nikaweka AirtelGprs.com
  (h) Nikataka kukonect modem ikakataa!
  (i) Nikaenda kwenye PD-PROXY nikataka ku-cinect ikakataa

  SWALI
  1.Settting zangu zipo sawa?
  2.Kama nimekosea ni wap?
  3.Katika ku-connect unaanza ku-connect PD-PROXY au MODEM (kumbuka laini ni ya Airtel yenye 0.00 Tsh!

  Naomba kuwasilisha!
  Thank you for advance!
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Bora umeweka hii thread tuone waliosema inakubali watuhakikishie hii kitu.. sasa tutajua madhara ya copy n paste..

  Shukrani sana mwanzisha thread!!!
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  brother's mi ni muda mrefu natumia mig33 long time, connection kubwa ya mig33 ni tcp tena unachagua ur own port kama ingekua tcp ni bure ningeonja japo sku moja kwa mig ila ukweli haiwezekani kwa tcp mtandao wowote tz.

  Hio port 53 ipo blocked airtel niliwah itest port ambayo ipo open ni 9200 na airtel wameifanyia sjui nini huwez conect nayo japo ipo open

  Utachofaidi ni kuongeza speed ya internet yako tu maana kukonect na port unique unatumia net mwenyewe speed ina improve.
   
 4. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hello experts i am waiting to hear much 4rm u!
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Is that mean haiwezekani kupata net free kwa njia hii zaidi ya kuongeza speed ya internet?
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Si ipo ya zantel kwa njia hii? Inawezekana ila sasa hapa tupo na airtel na hayo maelekezo ya jamaa
   
Loading...