Tuwe wastaarabu

bbc

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
3,836
4,145
Uko kwenye kundi la watu. Unapiga chafya bila kuzuia na angalau kitambaa. Matokeo yake yale "manyunyu" ya chafya yanawarukia watu walio nyuma yako wengine mpaka kwenye midomo yao halafu unajikausha kama vile hujafanya kitu! Tuwe wastaarabu kwa wenzetu!
 
Back
Top Bottom