Tuwe wakweli: Ungekuwa Lissu usingefanya na kusema kama yeye?

Ni aibu mtu mzima kulia lia bbc eti rais hajanipa pole kwa maneno ya mdomoni. Kaniambia tu kwenye twitter.
Tunamkumbusha lisu na genge lale raundi hii hata juisi pale jumba jeupe hawaitwi, watalia sana.
 
Mpinzani wake katika lipi Mkuu? Honestly,I would do the same angalau nipoe moyo wangu.
Dear Learned brother! Maslahi ya Tundu Lisu au mtanzania yeyote hayako juu ya maslahi ya watanzania wote! Siungi mkono kuchongea Nchi kwa sababu yeyote ile, Nchi kwanza mtu baadaye. Angetafuta njia nyingine ya kutatua changamoto hizo kuliko kuchongea Nchi. Mind you hapa inachongewa Nchi siyo JPM, misaada ni kwa ajili ya watanzania siyo JPM. Narudia tena tuwe wazalendo Nchi kwanza mtu baadaye! Siungi mkono kwenda kuichafua Nchi yetu huko Duniani kwa sababu yeyote!
 
Kwanza Lissu anawahuruma sana,ingekuwa mimi ingawaje ni ke ningewambia NATO ifanyie Tanzania kama mlivyoifanyia Libya haraka,sekunde mbili Ndugai na jiwe wangekuwa wanaweweseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifanyiwa hayo makitu haiitaji kujua hakizako Bali ni kudeal na walio kutendea jino kwa jino ambacho anakifanya Lisu ni Busara kubwa sana kulingana ninacho kifikiria Mimi ningekifanya
Naungana na wewe yaaani nipone kama.lisu sijui nitajibu nn mbele za mungu kwa nonachofikiria lisu anafaa kuwa kiongozi wa umma maana wenye moyo kama wake labda Tanzania ni yeye tu SA ni Alikuwa NM
 
Kwa sasa mtu pekee anayeweza kutibu majeraha ya haki usawa na ukandamizwaji wa aatanzania na mtu ambaye satu aana imani naye akisema ni Lisu mtaona naomba pasisake moto
 
Back
Top Bottom