Tuwe wakweli: Ungekuwa Lissu usingefanya na kusema kama yeye?

  • Ni Mbunge wa Upinzani na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni
  • Alishatoa taarifa ya 'kufuatiliwa' na kutishiwa uhai wake
  • Akashambuliwa akiwa kazini maeneo ya Bunge yenye ulinzi wa kutosha.
  • Kwa mujibu wake na familia yake,Bunge halijawahi kugharamia matibabu yake nje ya nchi kwa kile kinachotajwa kama kutofuata utaratibu unaohusu matibabu ya Wabunge.
  • Kwa mujibu wake,hakuna kiongozi yeyote wa Bunge aliyemtembelea hospitalini kuanzia Nairobi hadi Ubelgiji pamoja na kuwa yeye ni 'mgonjwa wa Bunge'
  • Kwa mujibu wake,hadi Sasa,hakuna yeyote aliyekamatwa,kushikiliwa au kushtakiwa kwa 'shambulio' lake.
  • Kwa mujibu wake,mipango ya kumvua Ubunge wake kwa 'utoro' inasukwa ili kutekelezwa.
  • Lissu ni Mwanasheria anayejua haki na wajibu,hasa haki na wajibu wake.
  • Alishambuliwa akiwa ni Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA,Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.
  • Yeye na familia yake wamekuwa wakifuatilia stahiki zake,za kimatibabu,kwa Mamlaka husika kama Bunge bila mafanikio.
Kama binaadamu mwenye sifa ya kukasirika,kufurahi,kuridhika,kuhuzunika,kulalamika,kuona umepuuzwa au kudharauliwa au kutengwa na kunyimwa haki zako,UNGEKUWA NI LISSU usingefanya au kusema kama yeye?
Ameenda kulalamikia sehemu isiyo sahihi!
 
Nadhani hadi tundulissu anafika hapo ni matokeo ya tabia yake ya ubishi na kutofahamu mipaka yake.......

Huwezi ukawa unashambulia serikali kwa makosa yake through intimidation kama hivyo halafu ikakutazama popote pale.....

Akina JF Kennedy walipigwa shaba na kufariki sio kwasababu hawakuwa viongozi bora bali waliiweka serikali katika kona mbaya ambapo alitakiwa kutulia kidogo kisha kuipa nafasi ijitafakari upya.

Ukimbana paka kwenye kona katika harakati za kumfunga kengele tegemea akutolee makucha yake na atakushambulia.......

Kila kitu kina limits........usikazie hadi kupitiliza......

Learn to fight smart na sio aggressive.......

Sasa anavyozunguka kuongea huko nje anategemea kupata msaada gan, na mataifa ya nje wanachokiona ni kiongozi wa upinzani aliyeshambuliwa........baasi hayo mengine hawawezi elewa maana ni siasa za bongo na africa kawaida.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti na africa kawaida ??? Boya wewe uko ndani unahangaika na mbu wako unajiandikia tu. Ungepigwa ww kofi tu wala sio risasi ungekuwa wapi ??? Acha kujaji vitu baada ya kushiba na kujamba kwa shibe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hadi tundulissu anafika hapo ni matokeo ya tabia yake ya ubishi na kutofahamu mipaka yake.......

Huwezi ukawa unashambulia serikali kwa makosa yake through intimidation kama hivyo halafu ikakutazama popote pale.....

Akina JF Kennedy walipigwa shaba na kufariki sio kwasababu hawakuwa viongozi bora bali waliiweka serikali katika kona mbaya ambapo alitakiwa kutulia kidogo kisha kuipa nafasi ijitafakari upya.

Ukimbana paka kwenye kona katika harakati za kumfunga kengele tegemea akutolee makucha yake na atakushambulia.......

Kila kitu kina limits........usikazie hadi kupitiliza......

Learn to fight smart na sio aggressive.......

Sasa anavyozunguka kuongea huko nje anategemea kupata msaada gan, na mataifa ya nje wanachokiona ni kiongozi wa upinzani aliyeshambuliwa........baasi hayo mengine hawawezi elewa maana ni siasa za bongo na africa kawaida.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha watu na hasa wabunge wanyamaze kimya hata kama wanaona kuna vitu haviko sawa?
Kwa hiyo unahalalisha mtu kuuawa kisa kakosoa au kuibana serikali?
Hakuna kitu mbadala ya kuua?
Hiyo ndo sheria au ni mlengo gani unafuatwa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Tarabushi,Ngudai aaa Ndugai na Lumumba yote hawalali ,wanahangaika kweli na lissu si mtulie tu awataje muanze kujiandaa kwenda the Hague (ICC).
 
  • Ni Mbunge wa Upinzani na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni
  • Alishatoa taarifa ya 'kufuatiliwa' na kutishiwa uhai wake
  • Akashambuliwa akiwa kazini maeneo ya Bunge yenye ulinzi wa kutosha.
  • Kwa mujibu wake na familia yake,Bunge halijawahi kugharamia matibabu yake nje ya nchi kwa kile kinachotajwa kama kutofuata utaratibu unaohusu matibabu ya Wabunge.
  • Kwa mujibu wake,hakuna kiongozi yeyote wa Bunge aliyemtembelea hospitalini kuanzia Nairobi hadi Ubelgiji pamoja na kuwa yeye ni 'mgonjwa wa Bunge'
  • Kwa mujibu wake,hadi Sasa,hakuna yeyote aliyekamatwa,kushikiliwa au kushtakiwa kwa 'shambulio' lake.
  • Kwa mujibu wake,mipango ya kumvua Ubunge wake kwa 'utoro' inasukwa ili kutekelezwa.
  • Lissu ni Mwanasheria anayejua haki na wajibu,hasa haki na wajibu wake.
  • Alishambuliwa akiwa ni Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA,Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.
  • Yeye na familia yake wamekuwa wakifuatilia stahiki zake,za kimatibabu,kwa Mamlaka husika kama Bunge bila mafanikio.
Kama binaadamu mwenye sifa ya kukasirika,kufurahi,kuridhika,kuhuzunika,kulalamika,kuona umepuuzwa au kudharauliwa au kutengwa na kunyimwa haki zako,UNGEKUWA NI LISSU usingefanya au kusema kama yeye?
Kuna watu wanamlaumu pasipo sababu mateso aliyoyapata Lissu ni siri yake binadamu anajijali binafsi mateso ya mwingine hayamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Ni Mbunge wa Upinzani na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni
  • Alishatoa taarifa ya 'kufuatiliwa' na kutishiwa uhai wake
  • Akashambuliwa akiwa kazini maeneo ya Bunge yenye ulinzi wa kutosha.
  • Kwa mujibu wake na familia yake,Bunge halijawahi kugharamia matibabu yake nje ya nchi kwa kile kinachotajwa kama kutofuata utaratibu unaohusu matibabu ya Wabunge.
  • Kwa mujibu wake,hakuna kiongozi yeyote wa Bunge aliyemtembelea hospitalini kuanzia Nairobi hadi Ubelgiji pamoja na kuwa yeye ni 'mgonjwa wa Bunge'
  • Kwa mujibu wake,hadi Sasa,hakuna yeyote aliyekamatwa,kushikiliwa au kushtakiwa kwa 'shambulio' lake.
  • Kwa mujibu wake,mipango ya kumvua Ubunge wake kwa 'utoro' inasukwa ili kutekelezwa.
  • Lissu ni Mwanasheria anayejua haki na wajibu,hasa haki na wajibu wake.
  • Alishambuliwa akiwa ni Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA,Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.
  • Yeye na familia yake wamekuwa wakifuatilia stahiki zake,za kimatibabu,kwa Mamlaka husika kama Bunge bila mafanikio.
Kama binaadamu mwenye sifa ya kukasirika,kufurahi,kuridhika,kuhuzunika,kulalamika,kuona umepuuzwa au kudharauliwa au kutengwa na kunyimwa haki zako,UNGEKUWA NI LISSU usingefanya au kusema kama yeye?

Res ipso loquitor
 
Natafuta contacts za alushababu hapa sizipati. Mwenye nazo anifowadie tafadhali.
 
Asante sana ndugu, hoja nzuri, maswali mazuri ya kufikirisha sana....

Kwa maoni yangu, kwa wengine wasivyojua na hata kuelewa umuhimu wa kujiwekea hazina mbinguni....

Ingewatokea situation hii, wasingepata msaada wowote kwa yeyote na hata kwa Mungu mwenyewe.....

Wangeshakufa maana hawakujiwekea hazina wenyewe huko mbinguni ambako nondo na kutu havipo!!

Hazina ninayozungumzia hapa ni kuwapenda na kuwasaidia binadamu wenzako wanapokuwa wahitaji (needy).....

Siku na wewe ukiwa muhitaji, Mungu akiangalia hazina yako anaona imejaa na Mara moja anaonekana wakati was mahitaji yako....

Hivi ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu. Tujifunze kutoka kwake
 
Yaani wazungu hawawezi kuelewa siasa za Africaa!!! huu nii u....***ila unaonekana mwoga unapigwa na mkeo
Nadhani hadi tundulissu anafika hapo ni matokeo ya tabia yake ya ubishi na kutofahamu mipaka yake.......

Huwezi ukawa unashambulia serikali kwa makosa yake through intimidation kama hivyo halafu ikakutazama popote pale.....

Akina JF Kennedy walipigwa shaba na kufariki sio kwasababu hawakuwa viongozi bora bali waliiweka serikali katika kona mbaya ambapo alitakiwa kutulia kidogo kisha kuipa nafasi ijitafakari upya.

Ukimbana paka kwenye kona katika harakati za kumfunga kengele tegemea akutolee makucha yake na atakushambulia.......

Kila kitu kina limits........usikazie hadi kupitiliza......

Learn to fight smart na sio aggressive.......

Sasa anavyozunguka kuongea huko nje anategemea kupata msaada gan, na mataifa ya nje wanachokiona ni kiongozi wa upinzani aliyeshambuliwa........baasi hayo mengine hawawezi elewa maana ni siasa za bongo na africa kawaida.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hadi tundulissu anafika hapo ni matokeo ya tabia yake ya ubishi na kutofahamu mipaka yake.......

Huwezi ukawa unashambulia serikali kwa makosa yake through intimidation kama hivyo halafu ikakutazama popote pale.....

Akina JF Kennedy walipigwa shaba na kufariki sio kwasababu hawakuwa viongozi bora bali waliiweka serikali katika kona mbaya ambapo alitakiwa kutulia kidogo kisha kuipa nafasi ijitafakari upya.

Ukimbana paka kwenye kona katika harakati za kumfunga kengele tegemea akutolee makucha yake na atakushambulia.......

Kila kitu kina limits........usikazie hadi kupitiliza......

Learn to fight smart na sio aggressive.......

Sasa anavyozunguka kuongea huko nje anategemea kupata msaada gan, na mataifa ya nje wanachokiona ni kiongozi wa upinzani aliyeshambuliwa........baasi hayo mengine hawawezi elewa maana ni siasa za bongo na africa kawaida.....

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Kwa hiyo alichofanyiwa ni justified hata kama alikuwa anasema ukweli!

2. Kwa hiyo serikaliikifanya makosa hata kama yanaumiza wananchi wake wasiseme sana watulie kidogo kuipa nafasi. Kwa kutumia mfano wa kule Sudan na Venezuela tusaidie kujua hiyo kidogo kama imeshafikia au bado ili tujue kipimo vizuri.

3. La paka linafanana na namba 2

4. Fight Smart na sio agressive pia kama 2

5. Uki pitia harakati zote za Lissu na wenzake wote kama akina Mbowe angefanya nini ambacho ni bora zaidi kufikia malengo yake kukomesha vitendo asivyofurahishwa navyo( Tundu kapigana miaka 25)?
 
Asante sana ndugu, hoja nzuri, maswali mazuri ya kufikirisha sana....

Kwa maoni yangu, kwa wengine wasivyojua na hata kuelewa umuhimu wa kujiwekea hazina mbinguni....

Ingewatokea situation hii, wasingepata msaada wowote kwa yeyote na hata kwa Mungu mwenyewe.....

Wangeshakufa maana hawakujiwekea hazina wenyewe huko mbinguni ambako nondo na kutu havipo!!

Hazina ninayozungumzia hapa ni kuwapenda na kuwasaidia binadamu wenzako wanapokuwa wahitaji (needy).....

Siku na wewe ukiwa muhitaji, Mungu akiangalia hazina yako anaona imejaa na Mara moja anaonekana wakati was mahitaji yako....

Hivi ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu. Tujifunze kutoka kwake
Tujifunze nini hasa Mkuu?
 
Petro E. Mselewa
qRI8Gs7.gif
 
Back
Top Bottom