johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,803
- 143,272
Ipo dhana kwamba kwa sababu Rais wa JMT ni Mwanachama wa Chama cha Siasa basi Chama chake kilichompitisha ndio kina Nguvu ya mwisho
Hii siyo kweli, Chama kinakuwa na Nguvu kabla Rais hajaapishwa, akishaapishwa Hapo hakunaga wa kumzidi
Nyerere alisema Katiba Hii inaweza kumfanya Rais kuwa " mungu mtu" lakini hakusema inaifanya CCM kuwa mungu mtu
Nawatakia Majilio Yenye Baraka 😀