Tuwe na Hofu ya Mungu

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,724
Reaction score
5,288
Habari wadau.
Mbarikiwe sana.
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia.
Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni kusema tangu JF ilipoanza hakuna hata mdau aliyetupiamo post!
Daah hii inatia shaka sana.
Hebu tubadilike wadau.
 
mhhhhh bad news mi sina tiketi ya kuingia hilo jukwaa kweli hamna post hata moja?????
 
La mbolea sanaaaa hili! Wakatoliki mkae standby, Mlei Lara 1 nakuja kushusha neno, maana Roho wa bwana kashanishukia! Amen!
 
Mungu yupo mioyoni mwetu, sio jukwaani.
 
Mkuu ni kweli Mungu tumuogope sana
 
Nasikia kama jukwaa la wakubwa, unaomba na unaunganishwa.

Sijui ni tetesi?
 
La mbolea sanaaaa hili! Wakatoliki mkae standby, Mlei Lara 1 nakuja kushusha neno, maana Roho wa bwana kashanishukia! Amen!

Ngoja nikawashe mishumaa altareni mama, utasoma somo la kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…