Tuwe na Hofu na Mungu

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,724
Reaction score
5,288
Habari wadau.
Mbarikiwe sana.
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia.
Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni kusema tangu JF ilipoanza hakuna hata mdau aliyetupiamo post!
Daah hii inatia shaka sana.
Hebu tubadilike wadau.
 
Ungeweka huu uzi kule ww ungekuwa wa kwanza kuonyesha unajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…