Tuwe Marafiki! Tusiwindane na Kutukanana

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,064
Reaction score
25,158
Tusiitane majina kama mjinga, mpumbavu, shenzi, mwongo, nk, nk.

Tupendane, tuelimishane na kutiana moyo, siyo kubezana na kushutumiana!










 
Hiyo picha ya nyani na mtoto wa simba sio urafiki ni bifu, simba akila mtoto wa nyani, nyani anamuua simba. Hivyo kila mmoja akajikuta analea mtoto wa mwenzake kwa sababu mtoto anauma.
 
Wajane nao ni binadamu bibiee

Au kwako kuwa mjane ni tusi??

Wajane wana nafasi kwenye jamii kama binadamu wengine
Daah.. wanadamu ni wakatili sana. Kuwa mjane si dhambi..
I love u mama d wangu[emoji173] take a heart mae
 
Mleta uzi unaweza kuvumilia hoja na mtu ambaye hajawahi kununua bidhaa Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…