Kwa sasa Ni ngumu zamani ilikua kabla hujaolewa familia ya mume/mke inachunguzwa na details zote zinaletwa Kama status ya famila/magonjwa/akili/tabia nk ndouolewe/uoe ila sikuizi tunatongozana kwenye bus meetn guest bubu then ndoa mimba inafata or vice versa sasa skilizia mtoto atakavyosumbuaha ha ha ha tutajuaje sasa kuwa ni mtu sahihi
Mama ndio kila kitu ujue
ha ha ha umeelewekaKwa sasa Ni ngumu zamani ilikua kabla hujaolewa familia ya mume/mke inachunguzwa na details zote zinaletwa Kama status ya famila/magonjwa/akili/tabia nk ndouolewe/uoe ila sikuizi tunatongozana kwenye bus meetn guest bubu then ndoa mimba inafata or vice versa sasa skilizia mtoto atakavyosumbua
Unajua kuna mambo hujificha ndani ya damu...? Huwepo kweny ukoo na hayaonekani ila huweza kuibuka baadae kwa watoto watakaozaliwa...kwamfano ukiepuka kuoa/kuolewa kwenye familia yenye matatizo ya kiakili,unakuwa umesalimika
Nikweli kabisa,Kuzaa ni jambo muhimu sana...cha muhimu ni kuangalia unazaa na nani;kuna wengine ni vichwa box....usipokuwa nao makini wanaweza wakawaambukiza watoto wakawa mambumbumbu.Ndio maana watoto wanatofautiana vipaji na uelewa(darasani kuna wa kwanza na wa mwisho).Kwa hiyo nashauri tuwe makini katika kuchaguwa wapi pa kuweka mbegu zetu.
View attachment 1131050
Ni kweli mkuu...Nikweli kabisa,
Ila kama hujaoa au kuolewa pls usijekujiona kuwa mjanja na ukajifanya kuwa utakachochagua ndio bora sana.
Laiti kama M.MUNGU angelitupa maono makubwa ya kujua ya mbeleni,wala tusingefanya makosa.elewa makosa yapo kwa ajili yetu ili tujifunze, kuna siri kubwa ambayo mimi nawewe hatuijuwi. Yapo makabila hasa wanadada ambao uwa hata kama ukimwoa awezi kuzalia watoto wote,yaani kama una watoto wawili basi mmoja sio wako,
Huwa wanaamini kuwa ukizaa na wanaume tofauti huwa inasaidia ktk masuala ya akili,mikosi na mafanikio.maana yake kama utatokea mkosi basi usiwapate watoto wote maana damu sio moja,na kama umbumbumbu basi usiwapate wote. Nakukumbusha tyu ariff, hakuna anayependa hasara maishani,ila hutokeaga tu.
Mkuu leta uzoefu,hata kama ulizimwaga sehemu ambako si sahihitafiti uchwara kama hizi zinacheza server tu
leta uzoefu mkuu...Kwakweli tu, tuchague yupi wa kupokea mbegu zake maana wengine ni nuksi.
ha ha ha ha ngoja nitafute usingizi nimecheka sanaKwa kweli hata mimi kuliko kupata baba kama wewe ni bora nisizaliwe kabisa
Lala tu kwa kweli maana naona akili za usiku zimeshaanza kukufanya uwaze mambo ya ajabuha ha ha ha ngoja nitafute usingizi nimecheka sana
Nabaki kusema tuwe makini sana kwani mke mwema anatoka duniani na si kwa MunguLala tu kwa kweli maana naona akili za usiku zimeshaanza kukufanya uwaze mambo ya ajabu
Hata sisi wanawake pia tuwe makini na wanaume tunaopokea mbegu zao maanaNabaki kusema tuwe makini sana kwani mke mwema anatoka duniani na si kwa Mungu
ha ha ha ha ha sawa sawa nadhani umeelewa vizuriHata sisi wanawake pia tuwe makini na wanaume tunaopokea mbegu zao maana
Eendiwooha ha ha ha ha sawa sawa nadhani umeelewa vizuri
kunywa Jack Daniels hapo five star hotel nakuja kulipaKuzaa ni jambo muhimu sana...cha muhimu ni kuangalia unazaa na nani;kuna wengine ni vichwa box....usipokuwa nao makini wanaweza wakawaambukiza watoto wakawa mambumbumbu.Ndio maana watoto wanatofautiana vipaji na uelewa(darasani kuna wa kwanza na wa mwisho).Kwa hiyo nashauri tuwe makini katika kuchaguwa wapi pa kuweka mbegu zetu.
View attachment 1131050
ha ha ha ha,sio unachagua mtu hujui kama anacheka au amenunakunywa Jack Daniels hapo five star hotel nakuja kulipa