Nimeikuta hii sehemu moja wakati napata 'zege' maana siku ya j2 sehemu ninayopata 'lunch' huwa hawaji. Nikajiuliza huyu alikuwa akimaanisha ni mikoa au wilaya?
Nimeikuta hii sehemu moja wakati napata 'zege' maana siku ya j2 sehemu ninayopata 'lunch' huwa hawaji. Nikajiuliza huyu alikuwa akimaanisha ni mikoa au wilaya? View attachment 1738156