Tuwe macho na nyumba ndogo


you blessed my sunday,thank you,,,wote tujue hili katika maisha yetu,,,aiseee
 

sawa kabisa

tena kisasi kingine,unapigwa kisu cha shingo usiku tu basi!!kuna upumbavu watu tunajitafutia wenyewe tu na izi ndoa,,,bora usioe kabisa uwe unatembea na kila umtakae na sio kuliza mkeo ivo,,apo kuna UKIMWI,STIs
nimesikia uchungu sana uyo mkeo anavokaa mahali na kuanza kulia peke yake aisee umemuumiza sana uyo mama.kwanini ulikuwa unamtukana?uliwekewa limbwata nini??

ukirudia na ufe
 

kwa maana wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu

tumpe nafasi tena


aza
 
Endelea kumdadisi ujue kwa nini analia.
 

Umevuna ulichopanda. Imagine huyo mkeo angekufanyia hayo? Kwa sasa vumilia tu maumivu, mwenzio keshaumia vya kutosha, sasa nawe zamu yako. Na kama tatizo hilo limeiletea ndoa yako ulemavu, basi jifunze kuishi na ulemavu huo, kubali hali hiyo tu kwani hata ukitoboka macho ukabakia kipofu inabidi tu uendelee na maisha ya kuona giza milele, subiri tu muujiza kama upo.

Unfortunately umeyataka mwenyewe. Ngoma a.k.a VVU vipi, umecheki? Usikute mwenzio keshacheki kivyake akakuta tayari, sasa kila anapokuona anakumbuka kuwa ndiwe uliyemletea hiyo kitu basi masikini machozi yanamtoka!

Wenzio hawaamiini kimada hata siku moja, na kamwe mwanaume mwenye akili hawezi kushirikiana na kimada kutesa mkewe. Kimada ni wa kudanganywa tu, maana vimada wote huwa wapo kimaslahi zaidi, mafao yakiisha basi huduma inakatwa, unarudi kwa mkeo. Kumbe mwenzetu ulinyea kambi? Umelikoroga mwana, unalo hilo!
 
endelea kumdadisi ujue kwa nini analia.

yawezekana anafikiria jinsi ya kuanza kuvunja ndoa za ma x boyfriend wake wakati anakupenda na jinsi na mzee wake atakapoanza toa chozi...mmmmh ole atakimbia nyumba huyo baba....wanwake wakiamua kukurudi mbona unalala na cndm ya mwanaume mwenzio kwenye mto tena anatumiakesho yake ....
 
Kwangu mimi kimaada sawa na ushirikina
 
Jamani asikwambie mtu hii kitu.Endeleeni tu kuisoma hapa jf.usiombe ukukute,kwa kweli inauma cha muhimi ni kumuomba mungu na mkewe msamaha.Na akisamehewa asirudie na pia ajue mkewe kurudi kwenye hali ya kawaida itamchukua muda sana ni vigumu kurudia hali yake ya kawaida kama anakupenda kwa dhati.kwa kweli inaumiza mi ni muhanga wa hii kitu.
 
mkuu uliharibu sana.....cha muhimu ni kumuonyesha kwa vitendo kuwa umechange....lkn sio rahisi kukuamini tena....itachukua muda...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…