Tamaa zimeniweka hapa nilipo sasa sina amani ndani ya nyumba nahisi kama nitalipiziwa kisasi,siku za nyuma kidogo nilikuwa na kimada nikampenda na kuanza kudharau mwandani na vituko vingi tu nilimfanyia kibaya zaidi hakuwahi kunikosea nilikuwa najisikia kutompenda na kuhamishia mapenzi kwa kimada lkn kimada huyo hakuwa mtu mzuri kwani alikuwa akipenda kujua sana mambo ya nyumbani kwangu mimi na mke wangu tunaishije,sikusita kumwambia na alikuwa akinishauri vizuri siku za mwanzo lkn baadae akawa anataka nimfanyie visa mke wangu nilikuwa nikimridhisha kwa kumuitikia ingawaje hakuridhika,akawa ananiambia nimpigie sim mke wangu nimseme ovyo nami nilifanya yote hiyo aamini nampenda.lkn kumbe mwenzangu mwingi wa habari kwasasa tumeachana nipo na my wife amenisamehe lkn mara nyingi namuona hana raha kuwa nami saa nyingine analia peke yake,NIFANYEJE MKE WANGU AWE NORMAL
Ila kiukweli nyumba ndogo kuna raha aaa!! tuweni wakweli wanakwetu.
Jamaa angu mi nakushauri;
1.Mpende mkeo kama mwanzo.
2.Mheshimu katika kila jambo.
3.Msikilize
4.Mpe nafasi ya kuzungumza lolote lilobaya juu yako au jema ulilomfanyia,wanawake wanapenda sana kuongea maneno mengi mwache aoongee muda wote.
5.Mfanyie maradufu yale mema anayotaka kutoka kwako
6.Kuwa mbunifu zaidi - najua unaelewa hasa ninachosema hapa.
7.Fika nyumbani kwa muda stahili bila kuchelewa
8.Usijielezee sanaa kwa mamneno mengi unapochelewa kurudi nyumbani na usitoe maelezo kwa mkato.
9.Pata muda wa kukaa na mkeo pekee yenu.
10.Msifie anapofanya jambo la kukufurahisha mf. amependeza,mrembo,anakuvutia na unampenda.
11.Kula chakula chake kila anapoandaa hata kama utaonja sehemu nyingine hakikisha unakula home.
12.Mnunulie zawadi yoyote tu, si unajua mzee!!!!!!!!
13.Mwache awe huru kwa mambo yake,mf. simu yake,gari lake na mpe muda wake(me time).
14.Mtamkie unampenda mara kwa mara unavyoweza na bila macho ya aibu,kwasababu ni mkeo afu kumbuka huyo tu ndo mtu wa karibu yako,man.
15. Mjali Mkeo bwana na usimwonee aibu huyo ndo maisha yako,kaka!

Pole sana kaka, hayo ndio maisha na siku zote tunajifunza kutokana na makosa! Kama kweli umejijua wewe ni mkosaji, basi zidisha apendayo, jitahidi kua mpole kipindi chote hasa unapoona anajisikia vibaya, mbembeleze sisi wanawake tnapendwa kubembelezwa, keep on doing that, ipo siku atarejea katika hali yake ya kawaida na ndio itakuwa moja kwa moja. Mtakuwa kwenye ukurasa mpya!
tabia zangu chafu zilimfanya ahisi na alikuja kugundua baada ya mimi kuachana na mwanamke wa nje na nilifanya yote hii kusudi aniamini lkn naona kama nimeharibuPole.
nyumba ndogo huwa ziko kwa ajili ya kutaka kitu fulani. ikishapata tu, sababu zinaanza.. Ulikosea sana kumsema vibaya My wife wako...
Je uliwahi kumwambia una mwanamke mwingine? Au kubadilika kwako tabia ndio kulimfanya alihisi una mwanamke nje????
Itakuwa safi kama utakuwa hivyo,sasa hivi hata niende kwa rafiki zangu nikirudi kanunaThat is it! Nyumba ndogo sitaki kabisa kusikia katika maisha yangu maana najua adha yake. Nitajiandalia tatizo la baadae bila kujijua! Naomba mungu apitishie mbali balaa hilo!
Mzee hapo bwana ni kufanya toba ya kweli na kumthibitishia mweza wako kwamba kweli umejirudi. Ila tambua fika, imani ikishaondoka inataka kazi kuirudisha. Kesho na keshokutwa ataaminije umeacha kabisa mambo ya nyumba ndogo?
Kweli kuna raha lkn mwisho ni kasheshe ni kheri kuiepuka hiyo raha kama bado hyajakukuta,nashukuru kwa ushauri nitajitahidiIla kiukweli nyumba ndogo kuna raha aaa!! tuweni wakweli wanakwetu.
Jamaa angu mi nakushauri;
1.Mpende mkeo kama mwanzo.
2.Mheshimu katika kila jambo.
3.Msikilize
4.Mpe nafasi ya kuzungumza lolote lilobaya juu yako au jema ulilomfanyia,wanawake wanapenda sana kuongea maneno mengi mwache aoongee muda wote.
5.Mfanyie maradufu yale mema anayotaka kutoka kwako
6.Kuwa mbunifu zaidi - najua unaelewa hasa ninachosema hapa.
7.Fika nyumbani kwa muda stahili bila kuchelewa
8.Usijielezee sanaa kwa mamneno mengi unapochelewa kurudi nyumbani na usitoe maelezo kwa mkato.
9.Pata muda wa kukaa na mkeo pekee yenu.
10.Msifie anapofanya jambo la kukufurahisha mf. amependeza,mrembo,anakuvutia na unampenda.
11.Kula chakula chake kila anapoandaa hata kama utaonja sehemu nyingine hakikisha unakula home.
12.Mnunulie zawadi yoyote tu, si unajua mzee!!!!!!!!
13.Mwache awe huru kwa mambo yake,mf. simu yake,gari lake na mpe muda wake(me time).
14.Mtamkie unampenda mara kwa mara unavyoweza na bila macho ya aibu,kwasababu ni mkeo afu kumbuka huyo tu ndo mtu wa karibu yako,man.
15. Mjali Mkeo bwana na usimwonee aibu huyo ndo maisha yako,kaka!
sijui mkija mjini mkiwa watu wazima
ndo madhara yake haya au vipi?
Utamdharau vipi wife wako kwa mwanamke
wa nje?
Halafu unaambiwa fanya hivi na wewe unafanya????
Anza kwa kupimwa akili,labda una tatizo la akili
wajanja huhakikisha wife hajui wala hapati sababu ya kulalamika.....
Kila kitu ni kimya kimya kama nyoka....
mwambie huyo mkeo amPM noname......... ana ushauri fulani mzuri akiufuata tu hutamuona akilia tena.........
ampm noname....popote ulipo nahitaji msaada
tabia zangu chafu zilimfanya ahisi na alikuja kugundua baada ya mimi kuachana na mwanamke wa nje na nilifanya yote hii kusudi aniamini lkn naona kama nimeharibu