Kimagege
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 283
- 88
Nimeona wakiutangaza huu mfuko katika kituo cha ITV na wanadai kuwa unapata mahela mengi fasta ndani ya kipindi kifupi sana.
Binafsi sioni tofauti yake na deci iliyowatapeli watu na kutokomea kusikojulikana huku kesi iliyofunguliwa pale Kisutu ikiwa imetoweka kiaina.
Kwa wanaofahamu zaidi watujuze ili watanzania wenzetu wasitapeliwe tena na wahuni wachache wanaofungiwa macho na serikali.