hahhaaaa hata mie simo shauri yako ulipoleta picha hizimmmh mimi simoooo
ila tuache utani bhana wanafananalakini sijamfananisha mtu na saudari akikufuma humu ndo ujiteteee
Nimeipenda ghorofa. Nani aliyesema hakuna vipimo? Ingekuwa hakuna vipimo hilo paa lingekataa
Hiyo sehemu huwa mvua haijeshi nini?si kwamba paa lingekataa, yaani lingekua limeshadondoka tayari, kijijini kwetu kule mwika mwika kulee, kuna eneo linaitwa ghorofani yaani mtu huyo pekee miaka ya 80 alijenga ghorofa la miti na udongo la ghorofa 4 wanaoyafahamu maeneo hayo watakua wanalipata fresh yaani alikua na wake 4 kila mke na floor yake nikienda ntalitupia humu mlione ingawaje limechokachoka kidogo....
Hiyo sehemu huwa mvua haijeshi nini?
sasa kwanini awe na hasira jamani wakati umenunulia avae akue navyo??? coz yeye ni wa mwisho sasa vikimbana atamwachia nani??
si kwamba paa lingekataa, yaani lingekua limeshadondoka tayari, kijijini kwetu kule mwika mwika kulee, kuna eneo linaitwa ghorofani yaani mtu huyo pekee miaka ya 80 alijenga ghorofa la miti na udongo la ghorofa 4 wanaoyafahamu maeneo hayo watakua wanalipata fresh yaani alikua na wake 4 kila mke na floor yake nikienda ntalitupia humu mlione ingawaje limechokachoka kidogo....
Aisee....ghorofa 4?! Kweli wataalam tunao....