Tuwaunge mkono CHADEMA kwa michango (USHINDI ARUMERU) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwaunge mkono CHADEMA kwa michango (USHINDI ARUMERU)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kashaijabutege, Mar 2, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :canada:Naushauri uongozi wa CHADEMA ufungue account maalum kwa ajili ya kufanikisha ushindi Arumeru na wawajulishe wananchi kwa njia ya vyombo vya habari na kupitia katika mitandao ya kijamii, kama JF. Uongozi uwe wazi kutangaza kila siku kiasi kinachopatikana ili kujenga imani kwa watu na kuzidi kuwahamsisha wengine.

  Mtaji wa CHADEMA ni wananchi wanyonge, hvyo hatuna budi kuiunga mkono kwa hali na mali. CCM wao mtaji wao ni mafisadi. Kama atapitishwa SIOI, ujue Lowassa yupo, Rostam yupo, Chenge yupo n.k. CHADEMA ni sisi.:canada::canada::canada::canada:
   
 2. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushindi sio lazima hela wewe
   
 3. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkulu oshange eiyela bainalyo. baije begambilile
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tigatumba.
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sio lazima, ila ni muhimu. Hata hivyo, walengwa wa ujumbe huu ni wana CHADEMA tu; sidhani kama wewe unakuhusu.
   
 6. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ......tilitela Nyonyi!
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni wazo zuri sana lakini hapo kwenye nyekundu ndiyo kwenye utata kama taasisi huiamini kwnini uwachangie mimi naona watangaze baada ya swala husika kumalizika.....
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama walengwa wa hii thread ni wanachadema kwa nini msiende ku-post kwenye website yao? Si mnasema JF si ya Chadema? Halafu ushindi wa Nassary utanisaidia mimi mvuvi wa dagaa huku kigoma? Ondoeni u.puuzi wenu humu!
   
 9. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  teiteiiiiiiiiiiiii
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sio kwamba siwaamini; ila ni utaratibu mzuri. CHADEMA haina tatizo katika hilo.
   
 11. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ahsante. Vua salama.
   
 12. r

  rwazi JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  owokubagambiliola niwe bonene amani gabo niwe nanye
   
 13. M

  MYISANZU Senior Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ondoeni lugha zenu za KIKABILA humu JUKWAANI.Mmeiharibu thread.
   
 14. P

  Papaya Senior Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani izi lugha zakutumia nguvu ndio uelewe mbona mnatupa taabu sie wengine.kama vipi anzisheni kijiwechenu
   
 15. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwokwo.
   
 16. M

  MYISANZU Senior Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mods wapigeni life ban hawa wanaoleta ukabila humu.wamekiuka law
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Thread ni nzuri lakini naona wanaifanya kama inawalenga watu wa kabila flani! Dam it!
   
Loading...