GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
13. MimiIngawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Ngoja nizitafute nyuzi zako kwanza, nikishazisoma, nitakuwa na cha kusema.
We nenda katibiwe maana siyo kwa wehu huoIngawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Sawa, nimekusoma. Na wewe umo!
Huu ni Uzi wa kuwatambua Wazalendo halisi wa Tanganyika, unaweza kuwataja wachache unaowafahamu?We nenda katibiwe maana siyo kwa wehu huo
Huyo angechongewa na sanamu kabisa. Aliipambania mno Tanganyika.Christopher Mtikila
Nipo [emoji419][emoji375][emoji1545][emoji173]Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Alikuwa mbunge wa Lindi Mjini. Ni miongoni mwa Wabunge 55 Wazalendo wa Tanganyika waliosimama kidete mwaka 1993 kuidai Tanganyika.Huyu SaidiAbdala Nakuwa ni nani? Yupo hai?
15. MakojoIngawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Wewe nawe ni Mzalendo Halisi wa Tanganyika. Nimezipitia post zako, majibu yako yanaakisi upendo wako kwa Tanganyika. Hongera kwa kuitetea nchi yako Tanganyika.15. Makojo
Mkishalianzisha hilo baadae mtagawanyika,Kilimanjaro itadai ilikuwa na seIngawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena.
Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao hatupo nao tena katika ulimwengu huu, lakini michango yao imeendelea kusimama imara ikiipigania Tanganyika.
Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Wazalendo halisi wa Tanganyika walio hai na hata waliokwishatoka katika ulimwengu huu.
Nitawataja wachache kwa sasa, na nitaendelea kuwataja na hata kuwaelezea , ikiwezekana.
Kwa kuanza, hawa ni baadhi yao:
1. Njelu Kasaka
2. Philip Marmo
3. Freeman Mbowe
4. Mch. Christopher Mtikila
5. Mshana Jr
6. Joseph Sinde Warioba.
7. Jaji Kisanga
8. Ahmed A. Mpakani
9. Jenerali Ulimwengu
10. Tundu A. Lissu
11. Askofu Zakaria Kakobe
12. Said Abdallah Nakuwa
Siyo kweli. Watanganyika tunaijua nchi yetu na mipaka ya nchi yetu.Mkishalianzisha hilo baadae mtagawanyika,Kilimanjaro itadai ilikuwa na serekali mpaka mwaka 1956,ilipoporwa,na wengine na wengine watafuata upuuzi huu..
JIDANGANYE?, DHAMBI HII HUSAMBAA KWA HARAKA...Siyo kweli. Watanganyika tunaijua nchi yetu na mipaka ya nchi yetu.
Kamwe hatutaigawa vipande vipande nchi yetu ya Tanganyika. Tukiona itatufaa, tunaweza tukaamua kuanzisha mfumo wa utawala wa kimajimbo, lakini siyo kuigawa nchi yetu nzuri Tanganyika. Tanganyika ni nchi moja na itasalia nchi moja siku zote.Mkishalianzisha hilo baadae mtagawanyika,Kilimanjaro itadai ilikuwa na se
rekali mpaka mwaka 1956,ilipoporwa,na wengine na wengine watafuata upuuzi huu..
Dhana ya utanganyika ni dhambi kubwa kabisa!
Mkuu, Mzalendo kuitetea nchi yake siyo dhambi. Kosa ni kukaa kimya bila kufanya chochote wakati anaiona nchi yake inatendewa ndivyo sivyo.JIDANGAJE?, DHAMBI HII HUSAMBAA KWA HARAKA...