Tuwatambue ma-programmer waliocode JamiiForums

Tuwatambue ma-programmer waliocode JamiiForums

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
671
Et waungwana wataalam wa IT, Kuna yeyote anayewajua maprogrammer waliocode jamiiforums?
Tuwajue ili tuwape credit kwa kudevelop platform hii adhimu sana kwa waTZ!
 
Hizi forums huwa ni software unanunua leseni kuzitumia. JF mwanzoni ilikuwa inatumia vbulletin, miaka kama minne hivi iliyopita wakabadilisha na kutumia VerticalScope (hii ya sasa).
Mkuu, nimeona JamiiForums inatumia XenForo forum software. VerticalScope imeanza kutumika lini kama utakuwa unafahamu kiongozi?
1.JPG
 
Hizi forums huwa ni software unanunua leseni kuzitumia. JF mwanzoni ilikuwa inatumia vbulletin, miaka kama minne hivi iliyopita wakabadilisha na kutumia VerticalScope (hii ya sasa).
Hapo kwenye vbulletin na vertical scope sasa ndo umeniacha
 
Et waungwana wataalam wa IT, Kuna yeyote anayewajua maprogrammer waliocode jamiiforums?
Tuwajue ili tuwape credit kwa kudevelop platform hii adhimu sana kwa waTZ!
Kilooza, ilowoola pale karibu na mawoolo unapoenda Ihanga. Au kwa tcha Sharo na magwada😂 hongera mtoto wa nchi ya Maziwa na Asali. Njoo PM mkuu
 
Wapo pia wanao sukuma gurudumu, na wao ni developer pia na kila siku mnalilia new feature wanawapatia so Kama unawaulizia hawa ni wasiojulikana. Mpaka Maxence Melo awatambulishe so hamna anayewajua ila wapo.
 
Aisee, hapa ndo naona utafauti wa elimu na kutokua nayo.
Ninge soma tu aisee,
 
Ni software tuu kama vile Windows (Experience, Vista, 7, 8, 10 et). Zote hizo una nunua leseni ya kutumia ili utumie kwenye personal computer yako. Tofauti yake, hizi za JF unaweka kwenye server.
Server za JF ambazo wanasema ziko Austria 😂😂
 
Kilooza, ilowoola pale karibu na mawoolo unapoenda Ihanga. Au kwa tcha Sharo na magwada😂 hongera mtoto wa nchi ya Maziwa na Asali. Njoo PM mkuu
😂😂😂😂 Nilikuwa sijakuona mwanangu, mambo vipi asee. Kitambo sana ujue.
 
Back
Top Bottom