Nimerudi, Naomba nitaje kwa mafungu....Viongozi wa Halmashauri zote wanaoiba wakishirikiana na mafisadi wa wazirani maana zinatumwa kwao na mafisadi wanapanda ndege kuzifuata na wanarudi dar kuzila,Mawaziri wote kasoro Mwakyembe na Magufuli,wasiolipa na wanaokwepa kodi wote (wewe umelipa ya kwako au ni mmoja wao), wapiga Tenda hewa, walaaniwe na wachomwe moto aargh nimechoka list ni ndefu