Tuwataje wanaotuharibia..

Tuwataje wanaotuharibia..

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,239
Reaction score
17,677
Wakuu,

Hebu tuwataje viongozi wa serikali kwenye nafasi mbali mbali ambao wao hawastahili kuwepo katika nafasi hizo, na uwepo wao ndiyo kikwazo cha maendeleo! hawa wamewekwa tu ili kujaza nafas bila kuzingatia utashi. Naanza na Mulugo, endelea kutaja.....
 
Maajabu mengine kuna huyu mtu anaitwa Steven Masele mbunge wa shinyanga yeye kawa naibu waziri wa nishati na madini kisa tu sh'nga kuna madini while the guy know nothing abt energy and mineral..Haina maana hii!!
 
muhongo...huyu ni muongo kwa kusema hakutakuwepo mgao wa umeme wakati upo tena mkali!!
 
muhongo...huyu ni muongo kwa kusema hakutakuwepo mgao wa umeme wakati upo tena mkali!!

Afu anaongea sana, na kusahau kuwa ni Phd holder (japokuwa siyo kipimo cha ueledi.)
 
Nyalandu and kagasheki..they transer ivory
 
Ngoja ninywe chai ntarudi baadaye maana ni wengi...
 
Nahodha huyu pia naomba mwenye CV yake aniwekee na mzeee wa mikasi
 
Nimerudi, Naomba nitaje kwa mafungu....Viongozi wa Halmashauri zote wanaoiba wakishirikiana na mafisadi wa wazirani maana zinatumwa kwao na mafisadi wanapanda ndege kuzifuata na wanarudi dar kuzila,Mawaziri wote kasoro Mwakyembe na Magufuli,wasiolipa na wanaokwepa kodi wote (wewe umelipa ya kwako au ni mmoja wao), wapiga Tenda hewa, walaaniwe na wachomwe moto aargh nimechoka list ni ndefu
 
Back
Top Bottom