Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Nashukuru Mungu sijaona jina la yule kiongozi wa kiimla hapa!Yule kiongozi anaeongoza wadanganyika kwa sasa!
 
Greatest Of all tym 100!?

Never. Hawatakiwi kuzidi watatu.
 
mkuu namba 5 weka mastermindwwa mchezo ntaalam JK KIKWETE apo maana kipindi chake watu waliiba sanaaaa lakn mwamba alijenga barabara shule kila kata mishahara ikapanda kila raia akawa na mkwanja mfukon big up kwake lakn pia Kuna shida apo kwa Samata TOA weka Platnumz mtu anacheza ligi ya watoto ulaya unamueka apo
 
Filbert Bayi mwanariadha nguli
Kanumba mwigizaji mashuhuri
Ali samata mchezaji shupavu
Nyirenda aliepandisha bendera nchi juu ya Kilimanjaro
Na
Luwassa Edward ngoyay
 
Wapo wengi sana ila kwangu ni Frank Humplik na Pror Mussa Assad
 
M.Samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…