Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Statesmann

JF-Expert Member
Jul 16, 2019
2,344
3,460
Hii imewahi kufanyika baadhi ya nchi kama South Africa, kuweka orodha ya watu muhimu waliochangia maendeleo ya nchi yetu kiuchumi na kisiasa kuanzia kabla ya uhuru na baada ya uhuru.

Tunaweza kupenekeza hii ikafanyika kwa kupiga kura na wajuzi wa historia wakatusaidia kutengeza list ya idadi ya Watanzania hao waliotufikisha hapa tulipo.

Mimi naanza na hawa,

1. Mwl Julius K. Nyerere

2. John Rupia

3. Chief Mkwawa

4. Kinjekitile Ngwale

5. Ally Sykes

6. Abdulwahid Sykes ( Alikuwa Rais wa TAA)

7. Bwana Kasela Bantu.

8. Dossa Azizi (Mikutano mingi ya TANU ilikuwa ikifanyika nyumbani kwake na alikuwa akimrudisha Nyerere nyumbani kwake na gari lake)

9. John Okello

10. Oscar Kambona

11. Abeid Aman Karume

12. Sheikh Suleiman Takadir

13. Zuberi Mtemvu

14. Bi. Titi Mohamed

15. Mtemi Isike

16. Mtemi Milambo

17. Chief Abushiri

18. Chief Mangi Meli

19. Edward Moringe Sokoine

20. Hamza Mwapachu

21. Kleist sykes

22. Salum Abdalah (Mwanamuziki)

23. Mbaraka mwishehe (Mwanamuziki)

24. Paul Bomani

25. Rashid Kawawa

26. Chief Makwaia

30. Salim Ahmed Salim

32. Nduna Songea Mbano: Huyu ni mmoja wa wapiganaji shupavu waliopigana vita ya majimaji, waliokuwa chini ya Chifu wa Wangoni. Wajerumani walijaribu kumnyonga kwa kamba Nduna Songea lakini alikata kamba ya kunyongewa mara tatu hivyo waliamua kumpiga risasi na kukata kichwa chake na kukipeleka Ujerumani ambapo hakijarudishwa mpaka leo.

33. Justinian Rweyemamu (economist, mathematician)

34. Joseph Sinde Warioba

35. Thabit Kombo

36. Cardinal Ruganbwa

37. Said Salim Bakhresa

38. Chifu Nkosi Mputa Gama bin Gwazerapasi: Hiyu alikuwa chifu wa wangoni na ni mmojawa Watanganyika 66 walionyongwa na wajerumani mwaka 1906 wakati wakipigania ukombozi wao kwenye vita ya majimaji.

39. Bwana Heri

40. Omar Bin Makunganya

41. General Abdalah Twalipo

42. Brig. Hashim Mbita

43. Ali Hasan Mwinyi

44. Ali Kidonyo (Aziz Ally). Huyu ni baba yake Dossa Aziz.

45.

46.

47. Jakaya Mrisho Kikwete

48. Sir. George Kahama

49. Thomas Marealle

50. Major General John B. Walden

51. Brigadier General Hassan Ngwilizi.

52. Mbwana Ally Samata

53.

54.

55.

56.

57.

58.

59.

60.

61.

62.

63.

64.
65.

66. Reginald Mengi

67. Edwin Mtei

68. Benjamin Mkapa

70. James Dandu "Cool James"

71. Asha Rose Migiro. Mtanzania pekee kufikia cheo kikubwa UN

72.

73.

74.

75.
76. Filbert Bayi Sanka

77. Shaaban Robert (Novelist, author)

79. Muhammed Said Abdulla (Journelist, novelist)

80. Joseph Mbilinyi

81. Anna Makinda; Spika wa Kwanza mwanamke Tanzania. Na hakuharibu

82. Mama Getrude Mongela: Huyu mama tangu yuko chuo mpaka amekuwa kiongozi kimataifa.

83. Prof. Esther Mwaikambo (the first female doctor and first female Vice chancellor)

84.

85.

86.

87.

88.

89.

90.

91.

92.

93.

94.

95.

96.

97.

98. Maxence Melo

99. King Majuto

100. Naseeb Abd "Diamond Platnumz"
 
Statesmann,

Hii ni fikra nzuri sana lakini inahitaji umakini mkubwa sana.

Mathalan umewataja Abdul na Ally Sykes na hii nadhani katika kategori ya
wanasiasa.

Umemsahau baba yao Kleist Sykes.

Kleist Sykes anao wenzake waliofanya makubwa katika wakati wao kama
Martin Kayamba, Erika Fiah kwa kuwataja wachache.

Hapo hapo ikiwa utawataja Abdul, Ally na Nyerere lazima umtaje na Hamza
Mwapachu.


1564781990716.png

Hamza Kibwana Mwapachu

Umemtaja mwanamuziki Diamond,,,

Itabidi uwataje wanamuziki ''pioneers,'' kama Frank Humplink, Salum Abdallah,
Ahmed Kipande, Mbaraka Mwinshehe, na wengine...

1564781775809.png


Salum Abdallah na Cuban Marimba Cha Cha Band

Hii si kazi nyepesi itahitaji umakini wa hali ya juu sana.
 
Nashukuru mkuu umekuja

Mkuu mimi nmchanga sana katika historia yetu ya nchi hivyo nimetoa kama mwongozo ila nategemea zaidi mawazo ya wadau kama nyie kuboresho orodha.

Halaf sikujua Kleist sykes ni baba yao Abdul na Ally, halafu hivi hawa watu wameenziwa kwa lolote? hawa watu walipaswa wawe amongo the Founder's fathers of our Nation!
Statesmann,
Hii ni fikra nzuri sana lakini inahitaji umakini mkubwa sana.

Mathalan umewataja Abdul na Ally Sykes na hii nadhani katika kategori ya
wanasiasa.

Umemsahau baba yao Kleist Sykes.

Kleist Sykes anao wenzake waliofanya makubwa katika wakati wao kama
Martin Kayamba, Erika Fiah kwa kuwataja wachache.

Hapo hapo ikiwa utawataja Abdul, Ally na Nyerere lazima umtaje na Hamza
Mwapachu.

View attachment 1170796


Hamza Kibwana Mwapachu

Umemtaja mwanamuziki Diamond,,,

Itabidi uwataje wanamuziki ''pioneers,'' kama Frank Humplink, Salum Abdallah,
Ahmed Kipande, Mbaraka Mwinshehe, na wengine...

View attachment 1170795

Salum Abdallah na Cuban Marimba Cha Cha Band

Hii si kazi nyepesi itahitaji umakini wa hali ya juu sana.
 
sasa inafichwa kwa manufaa ya nani?
kwanini credit zote za kupigania uhuru wa nchi ziende kwa mtu mmoja?
tangu nasoma shule ya msingi yaan najua Nyerere ndio kila kitu kumbe nyuma yake kuna wengi tu wanastahili kuenziwa
Pitia makala za Mohamed Said utajua kila kitu, huwa kunakuwa na mvutano sana kwenye hiyo mijadala yake.

Hata mimi wakati nipo shule nilijua Mwl ndio kila kitu kwenye Historia ya Uhuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom