MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,337
- 25,531
Hyo hawezi husikaANAYEIBA NI ABDUL
Kule hajapagusa chai ya moto nini !Naye bwana mahesabu apunguze double standard kuna sehemu hajaweka wazi hela zaidi ya hizo za uwanja zilizopigwa ili watu wapate uniform mpya kwa maelezo ya zile zilichafuka mno na wengi zilichanika wakati wa purukushani .
Maswaiba wakapeana tenda uniform zikaletwa ila hela halisi ikaongezwq masifuri ,sasa kumekuwa kwa moto hesabu hazibalance kila uchwao utawaona viongozi mara wako kwenye operation ya kusimamia na ukaguzi sijui wa nini ila ukweli ni kuwa hawataki kukaa ofisini maana bwana hesabu na watu wake kila wakienda ili waelezwe ukweli hakuna aliye tayari kusema kwa jina siwezi kumsemea afa...
Nadhani sasa watatulia ofisini si hesabu zishqpita ,sasa watu wa hivyo unadhani hata ukiwasimanga wataumia au watawaza basi .
Tanzania ni nchi yetu ila inaumiza mno
Na dogo anasingiziwa vingi ila mfumo ndiyo uliopwayaHyo hawezi husika
Tatizo juu kukipwaya mpaka chini kuna pwaya
Ova
Dogo anapiga huko juu connection kubwa zaidi!Na dogo anasingiziwa vingi ila mfumo ndiyo uliopwaya
Du! Lakini kuna mahali humu ndani nilikusoma ukijinasibu kuwa wewe ni mlokole.Je kuna daktari anaweza kutibu huo mshipa ama nichukue tenda kilingeni!?😂
Utetezi wa MsigwaProject ya uwanja wa Arusha jamaa wamepiga BILION 151😂 hii ni zaidi ya kufuru.. Yaani unaiba mpaka unapitiliza...
Ongezeko la asilimia 200🤣Utetezi wa Msigwa
👉
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya TZS bilioni 187 hadi bilioni 338.54 kwenye mkataba kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya CAF.
Msigwa amesema mpango wa ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kabla Tanzania haijapata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.
Hatari sana, wanatuona kama hamnazo vile.Ongezeko la asilimia 200🤣
Kiongozi tunaye na tunatamba naye ,watu wanapiga mabilioni ila adhabu zao ni kusimangwa ...wengine kesi ya kuiba kuku wanafungwa miaka mitatu jela.Hakuna haja ya kuwachukulia sheria mkononi au hakuna haja ya kuwapeleka mbele ya sheria
Hawa wanafaa kusimangwa
Hawa wanafaa kusemwa
Hawa wanafaa kusutwa
Udaktari Bingwa Bobezi(UBB) wa VICHAMBO?Bakini na masimango yenu.. Hizo ni kelele za chura... yule kiziwiView attachment 3564922