Rebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.
1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?
2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?
Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
Kama hawana huo ushahidi wa kuthibitisha hizo faulo kwa mahakama za hapa ndani watapata wapi ushahidi wa kuzithibitisha kwenye mahakama za kimataifa?nimesahau tume huru,kila siku wapinzani wanalia na hili,je kama kuna ushahidi serikali imecheza faulo...haiwezekani kushitakiwa kwenye mahakama za kimataifa??mnaojua sharia tusaidieni
Mambo dada?born and bred in Tanzania...
1.kutembelea wagonjwa ni jambo la kheri na yeyote anayelipinga hili tumlaani kwa nguvu zote!..mie sijawahi kulisikia hili unless hawakufuata taratibu,sioni why mtu akatazwe kuona wagonjwa,inawezekana uko right ila sijaelewa Why?
2.Mie naonaga viongozi wa Chadema kwenye press,sijawahi kuona mropokaji/mpiga soga wa Chadema equivalent na polepole ,,,,anyway Mwifwa amepoint out policcm ni tatizo….sasa msuggest hao policcm tuwafanyeje?
Sasa ukisema Mbowe awe aggresive huoni kama unachochea vurugu ?Watanzania tumezoea siasa za nguvu za hoja na si hoja za nguvu.Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….
Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……
Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..
Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)
Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…
Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
Nina imani ushahidi upo, ila mahakama zetu zinashinikizwa kuupuzia.Kama hawana huo ushahidi wa kuthibitisha hizo faulo kwa mahakama za hapa ndani watapata wapi ushahidi wa kuzithibitisha kwenye mahakama za kimataifa?
Sijamaliza kusoma uzi wako Rebeca 83, sio kwamba nimeshindwa la hasha.....nimeishia kwenye hii nukuu
Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……
Halafu nikatafakari jinsi intelijensia ya policcm ilivyoimara kwa mambo ya CHADEMA
Hakuna mahakama inayoshinikizwa hao wanashindwa kihalali kabisa vinginevyo wasingeshinda hata jimbo moja.Nina imani ushahidi upo, ila mahakama zetu zinashinikizwa kuupuzia.
Kumbuka hapa unashauri nyumbu.nani asiyejua mnaenda kwenye kifo chenu wenyewe...ninachoona hapa ni makamanda mko kwenye denial...kama mmeielewa topic yangu mlitakiwa mchangie positively nini kifanyike na sio kumkebehi Becky
Watapewa kesi za uchochezi na kusweka lupango ili kunyamazishwa,siasa za nchi hii zimekua mgumu mno kwa upinzani.Uko sahihi Revecca hasa hapo kwa mpiga Soga. Ofisi ya CHADEMA inatakiwa kufanya wanachi wajue msimamo wa kila jambo ambalo serikali inaenda sivyo au inafanya. Inatakiwa kutoa Kauli rasmi ya chama. ila naona mashinji kama anapwaya.
Serikali/ rais anazungumza against kupanga uzazi basi Mashinji alitakiwa kutoa msimamo rasmi wa chama kuhusu hilo. Serikali ikifunga/ ikifungua mipaka kuhusu kuuza mazao wanatakiwa kutoa mawazo. Tunasema je tutumie kiswahili hadi huo kikuu? chama kinatakiwa kutoa msimamo, watu wakorosho wanakatwa pesa chama kinatakiwa kutoa msimamo. wanatakiwa kutoa msimamo kote kwenye utalii, michezo, kilimo, biashara, viwanda, madini nk. si kuna mawaziri kivuli? wao wanafikiri wakiandika ilani basi wamemaliza. wanatakiwa kuendesha serikali kivuli ambayo itakuwa na majibu mbadala. Na hili halihitaji mkutano wa hadhara.
Iliyopo inaonyesha upinzani wanataka kwanza washike nchi nchi ndiyo waanze kufikiria jinsi ya kuiendesha!!. hakuna mtu atampa nchi mtu wa hivyo asiye na plan.
Kwa iyo cdm mnakatazwa kupiga soga kwenye televisions, hehee.Ebu pigia mstari jibu, maana mimi mambo ya Insha huwa yananichosha kuandika
Mpinzani gani kavamiwa akiwa kwenye pressRebeca 83 unaweza kuwa Una lengo zuri ila umeshindwa kuiweka vizuri ili ueleweke.
1. Unaposema wawe wanashiriki project zinawahusu wananchi mfano kwenye Afya na matibabu, Mara ngapi tumesikia Upinzani wameenda kutembelea Wagonjwa lakini wamekatawa?
2. Unasema hakuna mtu wa Ukawa wa kupiga soga kwenye Media, hivi hawa wanaovamiwa na Polisi wawapo kwenye Press ni wakina nani?
Wewe ni mgeni kwenye hii nchi?
siasa ni marufuku tzKwa iyo cdm mnakatazwa kupiga soga kwenye televisions, hehee.
Haki mmechanganyikiwa
Yule mzee Polepole yeye ni CCM anaweza kuongea vyovyote awezavyo hakuna wa kumgusa.Hawa wengine wakithubutu kufanya hivyo wataenda kupekuliwa majumbani mwao, wataitwa uhamiaji, wataambiwa wamekwepa kodi, hawalipi umeme ili mradi taabu tupuIdara ya uenezi ya Chadema imekufa...
Katibu mkuu Chadema nae hoi..
Wanapitwa hata na yule katibu mwenezi wa ACT MAENDELEO..
Japo baba Yao na mkali wao ni Polepole
Hawajui wewe kamanda mwenzaonani asiyejua mnaenda kwenye kifo chenu wenyewe...ninachoona hapa ni makamanda mko kwenye denial...kama mmeielewa topic yangu mlitakiwa mchangie positively nini kifanyike na sio kumkebehi Becky
Kuzungumza na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi siyo jambo dogo mateso yaliyopo vituo vya polisi na kukoseshwa ugali wa familia yako yameanza kuzaa matunda kwa chama tawala. Kama hamjui hili muulizeni Mtatiro.Moja Mbowe is not aggressive may be Chama kinahitaji mtu aggressive nadhani hata makamanda wanajua hili ila wamepima trade offs za kumuachia mbowe aende ni more damaging than good…(dilemma)….
Mbili hakuna mtu wa UKAWA wa kupiga SOGA kwenye media,mnaonaga akina Polepole wakipiga porojo kwenye media mnaweza kuwadharau ila wanaweka chama chao kiendelee kuwa masikioni kwa watu, kukosekana kwa mbadala kunamaanisha vyama vingine vising’ae……
Kushiriki katika projects zinazowahusu wananchi moja kwa moja,kama matibabu,afya nk,najua mtasema hamna vyanzo vingi vya mapato lakini mmeshajaribu kupitisha harambee watu wakachangia maendeleo yao wakakataa???...mmejaribu kutafuta misaada huko nje,kwenye taasis za misaada(NGO’S)…???..mkiwa engage wananchi watawakumbuka kwenye chaguzi , sio sasa hivi tunawaona wakati wa uchaguzi mnakurupuka huko mafichoni mlikokua na candidates ambao wako least popular….(by the way kwa vile CCM haifanyi hili la kuchangisha haina maana na nyie msifanye)….hizi projects zikitangazwa kwenye media tofauti tofauti ,online magazeti etc..mtapata support na at the same time mtakua MNATANGAZA chama chenu…..msikadhanie online peke yake.i still think watu bado wanatumia magazeti ingawa matumizi ya internet yanakua…..
Ningependa pia kuona mna mkakati wa kuact kuhusu hili swala la wanachama wenu kuhamia CCM,msipofanya lolote au kuwa passive jueni mtamaliza viongozi wenu wote kuhama na kufanya wananchi wawe confused even more………….kuwe na mkakati wa kuact as shock absorber in this changing environment…(sijui mfanye nini kuhusu hili,lol)
Reshuffle viongozi wenu,wale wazoefu wakae back seat na wapya wakae siti za mbele…miaka miwili inatosha kwa sura mpya kuzoeleka kwa wananchi na pia ni muda wa kutosha kwa hao viongozi wapya kuwa COACHED na viongozi wa zamani…
Nyingine jazieni tuwasaidie makamanda…
Huko ndio makao ya JWTZ wanaishi huko msituni.Nendeni mtawakutaHakuna njia nyingine ya kuweka mambo sawa kwenye hii Nchi zaidi ya KUINGIA MSITUNI TUU..