Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

Middlemen ndio sitaki mkuu kabisa, this is real I real need to monitor on my own. Infact am very far away hata sijui kama nitawahi kukutana nae!

Nani alikwambia wana shida?

Wanajiuza kwa kutaka ufahari wa kuishi kifalme kama fulani. Wasichana wapuuzi, wanatumia fedha kununua vipodozi na nguo na kuishiwa fedha za chakula. Watakapojua kuwa chuoni hawajaenda kushindana kuvaa, basi wataacha kubanduliwa. Kwani wanaume wao njaa haiwaumi?
 

Mkuu acha kegeneralize there are still decent girls out there who need this kind of help and am taking my chances to help kwa uwezo wangu mdogo nilionao.
 
Asante sana, but let just put it you that kuna wengi sana watatimiza haya masharti, and this is one of the biggest problem we have in this country, watu kama nyie ndio mnaosababisha hii nchi haindelei. Endelea na hayo mawazo mgando!
.........

Be realistic bana huu msaada wako unatofauti gani na Structural Adjustment Programme????
 
nadhani ukitaka kufa kwa presha haraka sana kuwa na fiancee mwanachuo. Hawana shida ya mapenzi wao wanatafuta pesa tu!

lengo lake siyo kuwa na fiancee jamani, mbona mnaruka mada. Ila kwa vigezo vya kusoma journals, kuandika report nk hiyo 3000 ijaishia huko. Labda kama utampa pc na moderm.
 
Mimi naona ni wazo zuri sana. Nina mdogo wangu wa kiume namsomesha chuo kikuu kimoja hapa bongo. Kaniambia bro wala usipate shida kwa mwezi nitupie laki moja tu na wala si zaidi.
Nimefanya hivyo kwa miezi mitatu sasa ila nimegundua pamoja na photocopy photocopy naona kama haitoshi. Hivi mwezi huu nataka nimuongezee iwe laki moja na nusu kwa mwezi. Hiyo ni mimi mwenyewe nimefanya uamuzi huu.

Ninachoweza kusema kua kwa msichana anayeishi maisha ya natural pesa inatosha sana tu. Maisha ya natural na simple namaanisha, anakata nywele, misosi miwili kwa siku (anaskip mmoja kukeep figure, if you know wot ai meeen), muda mwingi yupo bize na kitabu na akichoka anapiga zake evening walks, na mambo mengine ambayo ni vigumu kuyaweka yote.
Na wanawake wa namna hii wapo tu mbona, very simple and natural. Ila kwa kweli hawa wanatoka familia za hali ya chini ambao kwao hata starehe hamna.

Ushauri wangu kwako hem ongeza kidogo hiyo fedha iwe angalau laki moja na nusu kwa mwezi yaani elfu 5 kila siku. Am sure huko ughaibuni uliko unatumia dollars na 150,000Tshs = 97 USD. Kwa mwezi wewe uaweza ukawa unaingiza say USD 1,000 minimum. Kwa hiyo utakua unakata 9.7% of your earnings. This z too small a percentage and fair to both parties.

Ni hayo tu
 
Wanakuponda hawajui shida na yawezekana hata chuo hawajafika chuo. Kuna watu siku mbili wanakunya maji na ya tatu ndo wanakula.......

kweli mkuu, nakumbuka nikiwa first year nilikaa vimbwetani mabibo ilikuwa ni miezi dume. Kuna jamaa walikuja wakaa karibu nami wanadiscuss.

Kuna mmoja alilalamika kwamba ana siku ya tatu amekula mara moja. Nilimuonea sana huruma nikampeleka cafeteria akala msosi, bodi ya mikopo ilikosea sana kutupa mahitaji sawa na wanawake. Ilifaa wao wapewe zaidi yetu japokuwa walikuwa wanakausha mifuko yetu.
 
Exactly, u nailed it 100%...!!!

Too many questions & doughts to Real Stay...

Why he selected mwanachuo wa kike wa faculty yake...!!??

Then anampa kazi kibaoooo na kuwa ZERO DISTANCE NAE, just to waste her time na kuweka mazingira ya ngono finally labda apate wa kuoa thru that way...!!

THIS IS DHAMBI KUU, kutumia vijipesa zako kujidai unasaidia mwenye njaa, kumbe UNAMNUNUA MWANAMKE....!!

Real Stay find another way ya kutafuta mwanamke.... If u completed University, and u wrote all these, just to seduce mwanachuo wa kike, UR RUNNING AROUND THE BUSH....

Most men like you are DOMO ZENGE, REAL MEN don't do this...!!!

Worst ever idea to seduce....!!

Mwanamke

 
wapo waliokua wanavaa uniform za secondary na kukaa vituoni unaweza kudhani ni wanafunzi kumbe ni machangudoa, now upepo umegeuka kwa wanavyuo, nenda mabibo hostel, udom, saut, wapo wengi hasa kipindi cha boom delay, sikatai wapo wanachuo baadhi wanafanya hyo biashara but they are very expensive, (this s from my experience at UDSM,2006/2009,SAUT N UDOM)
 
msaada uliomzuri hata mbele za Mungu huwa hauna masharti, peleka hizo pesa chuo wakusaidie au omba hao wanafunzi wajiokeze uwapatie mwenyewe huo mshiko ila usiwape masharti, huoni kama unawaongezea kazi kama sio kuwatumikisha kwa hizo Shillingi 3,000.00?. Wanafunzi hawana huo muda wao wanahitaji muda mwingi wa kujisomea au unatafuta wasidizi wa kazi zako kwa cheap price. Maisha ni magumu kwa wanachuo especially wadada lakini ugumu huo hauwezi kumalizwa na hiyo programme yako. Jipange tena au kasaidie watoto wa mtaani au pia tafuta vijana wasio na ajira wakusaidie hizo kazi na sio kutuharibia wanafunzi Fataki wewe
 
Mkuu we need to do this, lazima tuanzie somewhere, kwangu mimi naona ladies ndio wanaumia sana vyuoni i decided to help in whatever circumstance I can

hapa mi sikuelewi mkuu na ninaomba unisamehe kabisa, labda kwanza nitangaze interest tu kuwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kwa sasa, hawa dada zetu unaowatetea leo wanapokea hela ya kijikimu (BOOM ) kama mimi ninavyopokea, cha kushangaza mimi naweza kutumia vizuri tena saa nyingine natumia sehemu fulani ya hiyo hela kumhonga yeye lakini bado tu atalia na hela huyo msichana, swali la kujiuliza hapa je tunaishi katika mazingira tofauti? jibu ni hapana wote tunaishi kwenye mazingira yale yale, je sasa wanapeleka wapi hizo hela? Utagundua kuwa wasichana wana matumizi mabaya ya hela na hii inatokana na wasichana wengi wana tabia ya kuigana life style, na hii inawafanya wengi kuingia kwenye mfumo wa maisha wasiyotarajia na hivyo kukuta wanamatumizi yaliyozidi uwezo wao, sasa saa ngapi huyo msichana asiwe cheap kuchukuliwa kwa gharama ya msosi tu. Acha niishie hapa maana kuna mambo mengi sana tunayajua kuhusu hawa dada zetu kwa sababu tunaishi nao huku vyuoni
 

Sifa namba moja (1) hiyo sijaelewa, ni typing error au ulimaanisha? Cause nahisi wa umri huo (kama kweli wapo chuoni) hawapo kwenye hiyo RISK ya kulalwa na akina Fataki!
 


Ushauri mzuri
 
ni move nzuri, pia nisingependa uhusishe vyuo waanze urasimu wao na upendeleo kwa wawapendao na pengine kutumia kama gia yao ya kuwapata hao mambinti kwa hela yenye lengo la kuzuia mabinti kujiuza.
 
Najuta kwanini sikusoma engeneering jamani
 
stay real nikitaka kuanza mwaka wa kwanza utanisaidiaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…