Tuwarambe tusiwarambe?

Tuwarambe tusiwarambe?

stive urio

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
14
Reaction score
2
Tuwarambeeee........Lusinde,Lowasa.Mkapa,na Mabwege wote wa Rangi ya kuruhusu Magari barabarani Mmejiramba wenyewe VIVA Chadema na Wa Igunga Afe basi wandugu?
 
Tuwarambeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Movement 4 change ndo hyo imeanzia Arumeru...ofis mkonon mpaka magamba yatoke
 
3-0 , lusinde ka lambwa , atalambwa sana mwaka huu
 
3-0 , lusinde ka lambwa , atalambwa sana mwaka huu
Lusinde pigwa mimba, Sioi pigwa mimba, Lowasa pigwa mimba
Nasubiria huyo msimamizi atangaze ushindi wetu!
 
Aramba aramba aramba tena Mwaaaaa
 
Tusubirini shemeji yake RICHMOND atangaze matokeo,yale mabomu ya jana usiku yameniogopesha wasije wakatangaza upside down hawa magamba.
 
mh mimba zimebadilika ghafula tumboni duuuuuuuh au dokta mwenyewe majimarefu aliwadanganya, kwa kweli habari ndiyo hiyo sijui watapita wapi na matendo maovu waliyoyatenda na wabunge wetu mliowakatakata mwanza mtalipa siku si nyingi.
 
hatimae wametangaza Nasari bingwa
Kudadadadadadadadaddaki
Na songea udiwani wa CDM
Viva cdm
 
CCM Kama kibwetele, wameanguka bwaaaaaaaaa, tehe teh teh, tunategema mvaa heleni apate chake cha kurambwa
 
Bangi ikipandwa, inaota ya rangi ganiiiiiiii???????
Niseme au nisisemeeeeee

Kijaniiiiiiiiiiiii na njano, sorry, kijaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mkapa kamlamba lusinde hadharani, mwigulu kamlamba lowassa na nassari kamzalisha sioyi mapacha, aibuuuuuuuuuu hiyooooooooooooo!!!!!-!!!§§§§!'!'''@
 
Back
Top Bottom