Tuwapende wanyama!

Wana magonjwa hao.Hivyo kugusana na uso hivyo hapana aisee.
Ndio maana inatakiwa kuwapa chanjo,kuwaosha,kuhakikisha wanalala mahali pasafi na wengine wanawapigisha hadi mswaki[emoji3]
 
Pia mbwa wakikutwa wanafanya mapenzi watadondoshewa tofali la mgongoni wafe.
[emoji23][emoji23] halafu huo ukatili sana,sijui kwanini tunawachukia hivyo,

Kuna jamaa yangu mmoja alinisimulia anasema walirudi home wakiwa na familia,ile kufungua geti tu akakuta mbwa wake wamenatiana na mwingine wa mtaani,akaona kama ameaibishwa,jamaa kwa hasira akaenda kuchukua sindano akaweka weka sumu akawachoma baada ya muda mbwa walikufa,ila anasema jinsi alivyoona wanateseka alijutia sana.
 
Ndio maana inatakiwa kuwapa chanjo,kuwaosha,kuhakikisha wanalala mahali pasafi na wengine wanawapigisha hadi mswaki[emoji3]
Duh!!!,Mimi nitawapa misosi,chanjo na ikiwezekana kuwaosha lkn siwezi kugusiana uso hivyo.
 
Duh!!!,Huo ukatili mbaya sana.
 
Ni wivu tu wakati na yeye ana mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…