Tuwapeleke Korokoroni

Tuwapeleke Korokoroni

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,164
kama yule mwanasheria wa kenya alisema ana mpango wa kuishtak nchi ambapo Yesu aliuawa......na mm nikija na idear ya kuwashtak waarabu walo wauza mamababu zetu pamoja na mataifa yote yalohusika ktk ukoloni tz......
nitapata mwanasheria..?
 
mfuate tundu
 
yule atanieleza mambo ya chama...
 
Mi nina mpango wa kuishitaki mahakama kuu je ntapata wakili!!??
 
Back
Top Bottom