Tuwape pole sana wana ACT Wazalendo

Tuwape pole sana wana ACT Wazalendo

goukun wadey

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
241
Reaction score
286
Poleni......!!! Saaana ndugu zetu wa act wazalendo, pole kwa kiongozi wa chama, pole kwa mwenyekiti, pole kwa viongozi wote bara na visiwani, poleni wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama.

Munapitia kipindi kigumu sana, na haielezeki ni kama munatolewa kwenye mstari, lakini haieleweki ni kwa vipi ni chama hiki tu ndio kizidi kwenye ajali za gari kwa msimu muhimu huu. Kisayansi sipati picha inakuwaje!

Tulianza kwa katibu mkuu Ado Shaibu akiwa Nannyamba gari ilipata ajali, kabla hatujatulia kiongozi wa Chama, Zito Kabwe nae kapata ajali ya gari, majeruhi hawajapona Mgombea ubunge huko Mtwara vijijini nae Kapata ajali ya gari. Hailezeki vizuri maana ajali haina kinga bali kwa nini act tu tena msimu huu?

Kwa Mtwara vijijini najua hilo jimbo lina record mbaya tangu enzi na enzi kabla ya Hawa Ghasia, nimemkumbuka Nachunga na wengi walipita mkondo mbaya huko tuwaachie wamaraba wenyewe. Kama ingekuwa madreva ni wa chama kingine au wa serikali tungeweza kutengeneza walau dhana fulani.

Kwa hali mnayopitia Nawapeni tu pole sana. Nawaza ni kama uunguaji wa shule za kiislamu kwa moto. Pole sana mpambanaji Zitto Zuberi Kabwe, Maalim Seif, Addo shaibu naona Tunduru inasogea mikononi mwako. Poleni saaaaaaana.
 
Hao walienda kwa waganga ili warushie hayo majanga watu wengine, sasa huko kumekuwa na mungu, hayo mashetani yao ndo yanawarudishia kichapo.
 
Siyo kwamba usalama a.k.a TISS ya nchi ya Uruguay inafanya mambo kwa weledi wa kiwango cha stiegler's gorge?
 
Zito Kabwe alimzushia Raisi wa JMTZ kifo, sijui alifikiri yeye ni immortal ? Ona sasa anatembelea tumbo, na Ubunge ndo bye bye tena, ...
Hakuna wa kumshinda Zitto ubunge na hahitaji kampeni
 
Hakuna mtu immortal katika dunia hii, nawala yeye hajawahi kujisema ni immortal, labda wewe unafikiri hivyo.

Sasa kwa nini alimzushia kifo Raisi wa JMTZ? Alikuwa anafikira nini labda kwamba yeye kifo hakimuhusu au? Mungu kamkumbushia kidogo tu, labda next time atajifikiria mara mbili kama hata ana huo uwezo, who knows?
 
Back
Top Bottom