Tuwape makamanda mkakati....

Tuwape makamanda mkakati....

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Kwanza kabisa niseme nilikua namfagilia Magufuli ila ananichusha sasa hivi..............,

Kila kitu Chato,wakati kuna sehemu zinahitaji huduma Zaidi na anajua hilo...inaonyesha HE IS ARROGANT/SELFISH.......,

Anyway, tuwape makamanda mkakati.....,

1.Watafute wagombea ambao ni influential kwenye hayo majimbo,mfano wafanya biashara maarufu,au watu ambao wako karibu na influential people hawa wawatumie kuwapigia kampeni wagombea wao.........................

2. Watafute wagombea ambao wanaongea kilugha hata kama cha kuombea maji cha majimbo wanayogombea..............................hii tactic iko successful,Mkuu Magufuli alipewa kura na wasukuma wenzake kwa kuongea kilugha,sasa unashindana nae wakati hujui kilugha,atakushinda tu,lugha inasogeza ukaribu.............................

3.Waongeze usaniii piga push up,piga magoti etc lol si unamuona Magufuli alivyocheza na saikolojia za watu😀😀😀😀 mwingine ni Ummy Mwalimu akapiga magoti kuomba kura kwa wananchi wa Siha......😀😀😀

5.Lastly wabunge wa upinzani ambao mko tayari ndani ya bunge ,msikae passive mui challenge serikali,watu waone utofauti wenu,tembeleeni majimbo yenu mara kwa mara,hii itawapa njia wagombea wenu watarajiwa....

Mengine ongezeeni wakuu
 
sioni cha maana hapo ulichoandika ...we ujui kuwa Ccm wanashinda Urais kwa sababu Tz atuna tume huru....Fatiliya majimbo yaliyoshinda Upinzani Jinsi watu walivyokufa nakupigwa na wengine kufungwa jela.
 
hao wabunge wa upinzani walio bungeni,wao waliingia kwa katiba gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom