Tuwaonee huruma na kuwasaidia wanaohitaji

Kusaidia wahitaji hapo ndipo haswa baraka zilipo ni vile tuu watu bado hawajajua ila kwa kweli mi ni shuhuda, kuanzia nianze kufanya hivyo yaani hata yale niliyokuwa naona hayawezekani sasa ninayafanya.
 
hizi picha zinasikitisha sana kuna nyingine mshana jr aliziweka wakati ndo nimemaliza kula na kusaza nilipofungua tu nakuziona yaani I felt guilty as if I killed someone. Nilijuta sana kumwaga kile chakula
 
Loo pole sana ndio dunia lakini tunajifunza kila siku, na tuwe na imani kwa wasiojiweza
 
Kusaidia wahitaji hapo ndipo haswa baraka zilipo ni vile tuu watu bado hawajajua ila kwa kweli mi ni shuhuda, kuanzia nianze kufanya hivyo yaani hata yale niliyokuwa naona hayawezekani sasa ninayafanya.

Na mungu atakujaalia upate zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…