Tuwaombee wanawake

Sijlinganishi na mwanaume na hakutakua na ulinganifu mpk mwisho wa dunia
Soma uelewe kaka
Rudia kusoma comment yangu ukiwa umetulia usikimbilie kujibu
 
nikajua kuna la maana kumbe pumba tupu..manabii waliishi na hakuna kitu waliwafanya sembuse wewe!!
 
Ukiandika mada kama hizi ni muhimu kutoa location ya eneo na mda wanaopatikana na bei


Ili tukiwa kama jamii tujue tunawasaidiaje na tunawanusuru vipi ili waepuke hio biashara




Hadi machozi yamenitoka nilivyosoma huu uzi


Taja location mkuu
 
Ushindwe kuhurumia ******* wanaoliwa vinyeo,(wanaume wenzenu) eti ujivalishe huruma kwa wanawake,,, kiroja hiki
Hao wanao liwa vinyeo achana nao Mimi nazungumzia nyie ambao mnatakiwa mtuzalie watoto...
 
Ukiandika mada kama hizi ni muhimu kutoa location ya eneo na mda wanaopatikana na bei


Ili tukiwa kama jamii tujue tunawasaidiaje na tunawanusuru vipi ili waepuke hio biashara




Hadi machozi yamenitoka nilivyosoma huu uzi


Taja location mkuu
Nikitoa location nitakua nawapa promo
 
Unataka kujastify nn mkuu. Kutiwa na kila mtu atakaefika dau ni zaidi ya uchafu na takataka. Demu mhuni na alaaniwe
 
Unataka kujastify nn mkuu. Kutiwa na kila mtu atakaefika dau ni zaidi ya uchafu na takataka. Demu mhuni na alaaniwe
Hadithi ya yesu na kahaba nadhani unaifahamu hebu kanukuu ile sehemu alipowaambia makuhani watoe boriti za machoni pao ndipo waje kutoa kibanzi machoni mwa kahaba,

Kwa kipi hasa ulichonacho hadi ulaani mtu,, huna mamlaka ya kulaani usijitie mwana mtakatifu
 
Unajifanya kuwasikitikia hao
Tuanze na laana za kwenu mmezimaliza?

Mkuu laana ya Eve kuliwa na nyoka inatembea hadi leo....

Naomba tuungane kwenye maombi tu,,together we Can...
 
Kuna mmoja alikua secretary wa boss fulan tena wa kampun kubwa tz alikua anajiuza kumbe hauzi shiida maana ana pesa zake ana mjengo na usafir wa maana lakin anauza mbunye anasema anapata faraja na furaha akiuza vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…