Tuwaombee wanawake

Hujaeleweka kabisa,unasema tuwaombee halafu unasema walaaniwe,hivi upo serious kweli?
Kunawanawake sample mbili hapo nimewaongelea ....wanao fanya makusudi na wanaofanyia shida
 
Weka location na bei elekezi ili tukathibitishe usemacho,vinginevyo ni hii itakuwa chai isiyo na tangawizi
 
Tulia dawa ikuingie wewe....nakuuliza swali kwa mara nyingine tena kwa nini wanawake wenzio wanafanya biashara ya kuuza miili (papuchi) yao...?
 

This comment is too personal....

Jikite kwenye maada mkuu,,, tuwaombee au tuwaache walaanike..??
 
Hapo ni malezi waliyokulia kwamba wana cha kutanyia kazi hivyo kazi za mikono sio rafiki kwao
 
Mimi huwa napenda sana kupiga story..kwa taaluma yangu hii kama mtaalamu wa afya kuna dada huwa wanajiuza lakini wanapopata magonjwa ya zinaa huwa wananiomba niwatibu ...siku moja ikabidi niwahoji kwa nini wanafanya biashara ya kujiuza?... baadhi yao waliniambia huwa wanatafuta furaha..yaani ile hali ya umalaya wanaipenda na si kwamba wanafanya kwa dhiki...
 
Huku kutaka kujilinganisha na wanaume hakutawaacha salama ....
 
Amina mtumishi
 
Weka location na bei elekezi ili tukathibitishe usemacho,vinginevyo ni hii itakuwa chai isiyo na tangawizi
Sio chai mkuu...hata Mimi nilikuaga naona hadithi tu ila Jana ndio nimeshuhudia
 
Hao ndio baraa mkuu
 
Sasa tuwaombee kwenye nn kitu gan hasa? Tuwaombe waache hio biashara ama tuombe Mungu awalinde kwenye biashara yao, ama tuombee wanaume wanao wanunua waache kuwanunua ili hio biashara ife ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…