Hizi nchi zetu kutokana na uchanga wake..
wakati mwingine jambo dogo laweza kuwa kubwa..
Binadamu huwa tunapanga yetu na Mungu nae hupanga yake...
sasa wanaigeria wenyewe walijiona wamepata solution ya migawanyiko
ya kidini na kikabila kwa kuweka mfumo wa kupokezana....
akitoka wa kusini mkristo anakuja wa kaskazini muislamu,
miaka kumi kumi.....
sasa rais muilsam wa kaskazini mgonjwa na makamu wake ni mkristo wa kusini.
akichukua nchi, wa kaskazini wataona wamepunjwa miaka kumi yao....
yaani sijui wata tatua vipi hili tatizo.....but kwa kiasi fulani...
watanzania tunatakiwa kujifunza kitu kutoka Nigeria....hasa position ya
makamu wa rais.....vinginevyo siku moja tutajikuta kwenye hali kama hii.....
mimi nasema tuwaombee sana kwa Mungu wanaigeria vinginevyo.....
Tatizo lako wewe ni udini. Wakristo huwa hatuna shida na hilo tunachojali ni kuwa rais atende haki kwa maendeleo ya taifa husika basi. Ndo maana TZ rais na makamu wake ni waislamu na wakristo tuko kimya. Kama wangekuwa wote ni wakristo sijui kama waislamu mungekaa kimya.
Naomba popote pale ulipo unywe MVINYO kwa niaba yangu. Umemwaga point hapa.