Umenikumbusha mbali kipindi hicho picha zao zinapangwa Kariakoo kama sijasahau zilikuwa zinauzwa sh 20/= hivi
RUBEN STUDDARD ni zao la AMERICAN IDOL.
RUBEN STUDDARD ni zao la AMERICAN IDOL.
Nazikubali sana Ngoma zake mbili hizi, ambazo ni:-
CHANGE ME.
WHAT IF.
FOXY na LIL KIM walikuwa wapinzani wa JADI.Ni shida