Tuwakimbie vodacom

hamidshaban

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
262
32
jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje!
 
Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,014
722
jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje!
hilo ndo linakufanya uwakimbie? mbona ni tatizo la kawaida kwenye electronics? hata kwenye mabenki sometimes network
huwa inakata, je tuwakimbie pia? pole kwa yaliyokupata but vijicent vyako viko salama kabisa,labda ungevichukua ungetumia vibaya
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom